Madame B>>>>Kwale msio mfahamu ni kwa hidhini yake!!

Madame B>>>>Kwale msio mfahamu ni kwa hidhini yake!!

Duh kumbe Madame B amebarikiwa kiasi hiki?
Wei!wei! wei! Sasa kwakuwa madame umemruhusu brother KakaKiiza aku-expose usiwe mchoyo wa kujibu PM yangu!:tape2::tape2::tape2:
 
Last edited by a moderator:
hapo baba kaka ile staili yetu vijana ya kunusa mavi haitawezekana,hapo ni kifo cha mende kwa kwenda mbele!
 
ha haaa, mtu mzima mwenzangu kwani hata picha kuangalia macho yamezeeka?
hapo picha si ipo clear kabisa?
kuna idara ambazo ni sumaku kali sana kwa nyie viumbe.......
cc. Fidel80


Hapana bwana,

Too much of something is usually harmful,

Babu DC!!
 
Kwa hiyo ni kama kuutaka urais kupitia chama cha upinzani??? Ukiona hivyo KOKUTONA ujue nami nipo vizuri kwa kampeni hadi kufika Ikulu teh tehe .

Haya count on me kwa kura yangu......but ukikaribia kupata ajali ya kuvunjika mfupa wa nyonga usisite kuniambia nije na ambulance
 
best hiyo ngoma nzito lakini hawa viumbe huwa ndo weakness yao......
yaani wengi wao hapa wana-wish...........
hata dakika moja tu, lol!

Ha ha haa FP chezeya hawa viumbe na KOZI WEKI.
 
Last edited by a moderator:
chema bana

hayaaa nachema chacha.........

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
 
Back
Top Bottom