Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaa, babu hiyo ndo mpango mzima......Kwani amelazwa hospital ipi na ward namba ngapi?
Huwezi kuwa vile na ukabaki mzima....
I am sure Madame B niliyemwona juzi hajafikia hapo..lol!!
Babu DC!!
hapo hakuna mtu kulalamika, idara muhimu zimekamilika, lol!