Madame B>>>>Kwale msio mfahamu ni kwa hidhini yake!!

Madame B>>>>Kwale msio mfahamu ni kwa hidhini yake!!

hayaaa nachema chacha.........

Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22). Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)
Hata "like"hupate kwa maneno haya hasa watu jeifu!mh!!
 
Yap nafahamu...lakini kwa nini sehemu lengwa kwenye taswira mnato huwa ni sehemu ya nyuma ya mwili?
Hapo sawa, unajua hiyo ndiyo sehemu pekee yenye mvuto wa kwanza, hiyo ya mbele utaijua wakati ukifika.
 
Hayo makitu raha yake ni kuyaangalia tu, ingawaje nayapenda lakini hilo limezidi.

Hapo ujiandae gambuti lasivyo utazama kwenye tindiga na kutoka na fangasi za miguu.
 

Attachments

  • House.jpg
    House.jpg
    44.6 KB · Views: 57
Back
Top Bottom