duh, was this suppose to be a joke, maana sioni kaa inahusu au inachekesha.Wewe mr. Mhasibu yaani jana nilisaini hela yangu ya nauli sh. 10,000/= kumbe nilipotoka ukaongeza 4 mbele ikasomeka 410,000 hiyo 'cha juu' unaenda kununua karatasi kweli?
katibie kwanza hormone imbalance inayokusumbua..una matatizo ya akili
hata ningetaka, nisingeweza.1. Kwa vile WTZ wachache wamekubali kukanyagwa kichwani na MAFISADI - ndio unataka na madaktari wawe hivyo?
Of koz as a scientist siezi kushindwa kununua karatasi za 10K ili ku-print kazi zangu, i won't stoop that low.2. Wewe unalipwa shilingi ngapi ambazo unaweza hadi kununua karatasi za ofisi yako??? Au ndio nyie W..I wa nchi hii?
which is all well, lakini sheria ni msumeno. masikio daima hayazidi kichwa, nchi hii ni maskini, it is NOT USA kwamba individualism is a way of life. Mtarudi tu kuipigiamagoti sirikali..mtakuja!3. Wananchi/Wagonjwa wa Tanzania sio mali ya madaktari - ni mali ya Serikali so Serikali ifanye wajibu wake.
We vipi? Tuje tukupe kichapo heavy halafu upelekwe hospitali ukute kuna mgomo usitibiwe we utajisikiaje? Au umeugua serious ukakimbizwa hospital ukakuta mgomo we hali hiyo unaichukuliaje? Unajua kushabikia mgomo kunasababishwa na kuwa na afya njema? Ungekuwa mgonjwa umelazwa halafu hupati huduma yoyote! Jamani,madai yao ya vifaa ni sahihi lakini mgomo hapana! Kwani tusio na uwezo wa kwenda private ndio tunaoumia! Hili sio suala la kushabikia hata kidogo.
Nimeona nikiwa kama mtz ninae itakia nchi yangu mema niwaeleze ndugu zangu ma dr ninyi si wazalendo ila mnacheza na mind za wa tz hili ni dhahiri,katika madai yenu yote mlio nayo ambayo ni takribani kumi na mawili,mmeona ili tuwaone wazalendo mchague dai linalo gusa watz(kuboresha huduma pamoja na vifaa duni) ndio iwe agenda kuu,dr kuzungumzia kwamba anagoma kwasababu ya 3500000 hamzungumzii mkijifanya kwamba mnatupenda sana,sisi tumewafaham kwamba mnataka kutumia watz,mnataka ifike hatua tuichukie serikali na tuingie mitaani,
ila msijisumbue kwani sisi hatuwez kuandamana kwasababu zenu zakisiasa.Bwana Chitage tunakufaham vizuri kwamba wewe ni mwanasiasa mzuri tangu upo chuo.Wekeni siasa pembeni fanyeni kaz.
Madaktari kugomea kutibu wagonjwa ni sawa na uuaji. Hawa ni wauaji tu. Nawaomba wajifunze kuhusu ulimboka: Je kama Ulimboka asingetibiwa angepona? Na wagonjwa ni hivyo wajue kuwa wameua watu wengi sana. Wameua sana