Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Mkuu akiponaaaa si lazima aajue mwendelezo wa hali yakee, hlf nimeongelea mazingira tofauti, kuna baadhi wanaenda wana p.i.d n magonjwa mengine, after time huwa mawasiliano yankuwepooo na kun wanao liwa on the spot,

Kwa mfano ana mimba ina mwiki mbili, tatu au mwezi na hana tatizo kwan hapo ana bleed si analiwa ??????
Mkuu...ukisafishwa ukapona...Unarudi kwa doctor kufanya Nini ..KUSHUKURU...unafukiria kumuona doctor Ni bure unaingia utakavyo..
Utaenda Kama unashida nyingine
 
Kuna Musa wakuburudisha nafSI...Muda wakusafishwa ... doctor aone ndo Muda wakujiburudisha...zile Damu zinatoka nyingi...na maumivu kibao

Dooo huyo doctor sio
Wewee hujaonaa maajabu kuna watu wanafanyaa mambo katika mazingira ambayo hutegemei, sio wanawake wote wagonjwa kuna wanao shika mimba bahati mbaya mimba haina hata wiki.

Binti mbichi kbsaa.
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
 
Ni uongo wa wanaume kudaganyana hivi wanajua mifumo ya wanawake na wazazi mtu unaumwa kufa daktari anakuokoa hamu itoke wapi, hata ukiwa tu labour ward mnakuwa wengi, theatre yenyewe ni kubwa na kuna vitanda vingi ma nurse wakutosha hyo hamu itoke wapi?
Kun hostpitali za mjini na vijijini na kuna zenye madaktri kamili na na zisizo na madktari usilete mfano wa hospitali moja
 
Wewee hujaonaa maajabu kuna watu wanafanyaa mambo katika mazingira ambayo hutegemei, sio wanawake wote wagonjwa kuna wanao shika mimba bahati mbaya mimba haina hata wiki.

Binti mbichi kbsaa.
Kweli Kuna mambo yanastaajabisha...
Lakini mwanamke kushika mimba haina hata week .....sijaelewa
 
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
Hujasoma ukaelewa nimeongelea baadhi ya madaktari sio wote.
 
Huenda hijui unachokielezea kwa ufasaha! Ni ngumu mno kwa daktari kumuingilia mwanamke anayehitaji kufanyiwa dnc au kusafishwa kizazi kwani Hadi afikie kupewa huduma hiyo Basi mfumo wake wote wa uzazi utakuwa una tatizo kubwa na huenda unatoa harufu mbaya kiasi kwamba daktari au yeyote hatokuwa na wazo la kumuingilia. Poa mteja anaweza kuwa kwenye maumivu makali ya sehemu hizo kiasi kwamba hatoweza kuhimili kuongezewa maumivu mengine! Tuwaheshimu na kuhemimu tasnia ya udaktari na acha kuwavuruga na kuwachafua! Ukiona vipi mkeo na bintiyo usiwapeleke hospitali Baki nao nyumbani.
You nailed it man
 
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo " akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini ? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je haya mambo yapo kwa kiasi gani ?kama unajua sema kidogo juu ya hili Na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari(haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji ?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.

Huna Akili.
 
Wewe badoo fatiliaaa mimba baaada hata baaada ya siku moja ipoooo ndgu.
Nikweli. ...Sasa kushika mimba na doctor Kuna husika Vipi?..au unamaanisha madoctor ndo watia mimba
 
Kun hostpitali za mjini na vijijini na kuna zenye madaktri kamili na na zisizo na madktari usilete mfano wa hospitali moja
Wewe Baki na unachoamini ila ni ngumu kufanyia ufuska hospitalini penye wagonjwa na wahudumu. So tuache kuchafua madaktari ukiona mtu ka do ujue kakubali na nje ya hospital Ila mule na uchungu plus kusafishwa hyo na kupinga kabisa KWA nature ya hospital zetu hizi ni ngumu.
 
HILI lawezekana.... Kuna doctor marekani Alikua Anawaambia wagonjwa Wana cancer...ili aingize pesa kwenye Firm yake..

So doctor kubaka inawezekana kabisa....Lakini Ni wachache kwakweli..
Haiwezekani profesheni ikawa haina watu wasio na ETHICS.
Si wote mkuu, kwenye msafara wa màmba kenge wapo, kuna mwaka kitu 2010-13 kuna hosp moja dar kitu kama Temeke, mdada kaenda kung'oa jino tena kasindikizwa na mpenzi, lakini mwenzie aliambiwa asubili nje alazwa usingizi kabakwa na kitolewa jino, alivyotoka pale alijiona tofauti kupimwa kaingiliwa na huyo Dr alikuwa na kazi nyingine police
 
Ni uongo wa wanaume kudaganyana hivi wanajua mifumo ya wanawake na wazazi mtu unaumwa kufa daktari anakuokoa hamu itoke wapi, hata ukiwa tu labour ward mnakuwa wengi, theatre yenyewe ni kubwa na kuna vitanda vingi ma nurse wakutosha hyo hamu itoke wapi?
Na nurse mwanaume aliye mbaka mjamzito aliyeenda kujigungua! Tena mwaka jana Katavi huko mama anauchungu kaenda na mama yake, mkunga kaingia naye mazima mama anashituka mkunga anamaliza, alikimbia na kumwacha bila hata kumsaidia kujifungua nacheka kama vizuri.
 
Msimbishie wapo wanaofanya hivyo, mie kuna Dr nilikuwa namfahamu vizuri, watu walikuwa wanamlalamikia sana japo alikuwa Dr mwenye elimu yake nzuri kwa ajili ya kusaidia wanawake, kabla ya kazi alikuwa anawapa dawa mtu analala anafanya yake kabisa
Umemaliza haswaaaaaah.
 
Na nurse mwanaume aliye mbaka mjamzito aliyeenda kujigungua! Tena mwaka jana Katavi huko mama anauchungu kaenda na mama yake, mkunga kaingia naye mazima mama anashituka mkunga anamaliza, alikimbia na kumwacha bila hata kumsaidia kujifungua nacheka kama vizuri.
Hzo ni rare kesi Sana, Ila KWA nature ya hospital mtu kwenda kujifungua labour au kusafishwa ubakwe ngumu Sana maana kusafishwa ni procedures lazima udungwe mashindano, plus ma nurse kila corner ngumu jamani. Kwanza ni marufuku dr wakiume kuhudumia mwanamke ka kusafisha bila nurse wa kike na huo ndo muongozo
 
Back
Top Bottom