Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,053
Best hukusikia itakuwa mwaka jana, mgonjwa aliyepooza yupo hosp muda mrefu haongei wala kujisogeza huko USA na alikuwa na Dr wake, walikuja gundua siku anajifunguaWewe Baki na unachoamini ila ni ngumu kufanyia ufuska hospitalini penye wagonjwa na wahudumu. So tuache kuchafua madaktari ukiona mtu ka do ujue kakubali na nje ya hospital Ila mule na uchungu plus kusafishwa hyo na kupinga kabisa KWA nature ya hospital zetu hizi ni ngumu.



