Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Zinafaa Afghanistan na Somalia
Wewe hata dada yako ama maza wako atafunwe na madaktari utafurahia tu. So sad
Zinafaa Afghanistan na Somalia



Private Hospital tu ndio unaruhisiwa kuingia na mke/mume wakoEndelea kufanya uchunguzi huru sidhani kama nakubaliana ma wewe kwenye, hata hivyo wanawake wanaruhusiwa kwenda kwenye chumba cha daktari na waume au wapenzi wao. Kama ishu ni uhuni basi kila profession ina wahuni na wapenda ngono
Ni takwa la kisheria dr akiwa anafanya procedure ka kusafisha operation kuwa na nurse hata zaidi ya mmoja dr haweza kwenda safisha au theatre bila assistant, Mimi Mara zote huwa Kuna ma nurse Hadi nilimuulizaSio rahisi kuomba nurse..inategemea unafanya Nini?...Sasa unaenda kwa gynaecologist...aanataka kuangalia kitu...utamdai nesi awepo.
Tunaamini madoctor kuwa wanajua wanachokifanya...na kuwa wanaethics..
But je wewe ofisini kwako unafuata Ethics za kazi yako?....
Watakuwepo madoctor wabaya...wasio na ETHICS but SI wengi
Pia
Mie ilikuwa operation wakati naandaliwa kulikuwa na dr na ma nurse kibao, bila kusahau wanafunzi wa intern so hyo kubakwa ni ngumu Sana maana ma Dr wako busy mno na ku save watu aisee,nyege ni baada ya kazi imagine my gynologist jinsi Wana rundo la wagonjwa kusubiria huduma. Hafu theatre kubwa vitanda vingi na operation nyingi Sasa mtu ana bakaje hapoHospital ulioenda nzuri... Wanakusafisha na kudungwa na masindano
Mimi I had a miscarriage...ilikuwa dry dry mydear.....Yaaani hakuna Cha sindano Wala Nini. Ni vyuma tu na plastic....Nilisikia maumivu SI ya nchi hii....LOOOOH
Nashangaa huyo atake kubaka katika Hali hiyo...atakuwa na shida mahala
Kusafishwa unachomwa sindano za usingizi husikii chochote, hyo ya kavu sikubali natoka ndukiHospital ulioenda nzuri... Wanakusafisha na kudungwa na masindano
Mimi I had a miscarriage...ilikuwa dry dry mydear.....Yaaani hakuna Cha sindano Wala Nini. Ni vyuma tu na plastic....Nilisikia maumivu SI ya nchi hii....LOOOOH
Nashangaa huyo atake kubaka katika Hali hiyo...atakuwa na shida mahala
Kaka nakushauri kasome na wewe uwe daktari. Tusileteane mambo ya kipuuzi apa

anaona madaktari wanafaidi kumbe ile ni kazi.Na wanafaidi kweli,,hivi kwann 99 % ya wanaotoa wanawake mimba ni madoctor wakiume?anaona madaktari wanafaidi kumbe ile ni kazi.
Kutoa si hela unafikiria ni bure, ile ni njia haramu ya ma Dr kujiongezea kipato, na sijawahi sikia mwanamke akitoa dr akitoa mimba sijui kwanini!?Na wanafaidi kweli,,hivi kwann 99 % ya wanaotoa wanawake mimba ni madoctor wakiume?
Basi ujuwe kuna la ziada zaidi ya kupata PESA..Kutoa si hela unafikiria ni bure, ile ni njia haramu ya ma Dr kujiongezea kipato, na sijawahi sikia mwanamke akitoa dr akitoa mimba sijui kwanini!?
Labda huko vi dispensary vya uchochoroni Ila hospital as hospital mbona watu hutoa na nurse na dr wanajua sema tena hata bima yatumika, huko vichochoroni I agree Ila hospital hzi za serikali kila corner machawa na mashilawaduBasi ujuwe kuna la ziada zaidi ya kupata PESA..
Madaktari wa kiume wanawafanya kweli hawa wanawake,,
Iwe kwa kupenda au kutokupenda.
Mfano akimuweka mwanamke dawa ya usingizi,atashindwa kufanya anachotaka?




.Wewe hata dada yako ama maza wako atafunwe na madaktari utafurahia tu. So sad
Hii nimeishuhudia kwa roomment wanguMkuu wanaoenda wengi kutolewa mimba ndio hufanyiwa hivyo..
Huko huko kwenye hospital kubwa,,kuna jamaa alijifanya anamlinda mkewe ,,Labda huko vi dispensary vya uchochoroni Ila hospital as hospital mbona watu hutoa na nurse na dr wanajua sema tena hata bima yatumika, huko vichochoroni I agree Ila hospital hzi za serikali kila corner machawa na mashilawadu
Sio lazima amuingilie wakati anaumwa. Atamhudumia na kumtibu bila shida. Kisha kama anamtaka atamwambia arudi tarehe fulani ambayo ana uhakika kuwa atakuwa amepona. Atajifanya kumfanyia vipimo ili kujua kama amepona hapo ndio ataanza mambo yake.Huenda hijui unachokielezea kwa ufasaha! Ni ngumu mno kwa daktari kumuingilia mwanamke anayehitaji kufanyiwa dnc au kusafishwa kizazi kwani Hadi afikie kupewa huduma hiyo Basi mfumo wake wote wa uzazi utakuwa una tatizo kubwa na huenda unatoa harufu mbaya kiasi kwamba daktari au yeyote hatokuwa na wazo la kumuingilia.
Poa mteja anaweza kuwa kwenye maumivu makali ya sehemu hizo kiasi kwamba hatoweza kuhimili kuongezewa maumivu mengine! Tuwaheshimu na kuhemimu tasnia ya udaktari na acha kuwavuruga na kuwachafua! Ukiona vipi mkeo na bintiyo usiwapeleke hospitali Baki nao nyumbani.
Mkuuu...Zinaaa hakuna Dini inatakaZinafaa Afghanistan na Somalia
Mwongo mkubwa weeee