Madaktari wanavyowafanya wake zenu

Unaleta ujuaji wakati hujui
Wewe unaejua....Hilo la kujua kuwa like add value gani kwa.maisha yako...mkeo utamtibu mwenyewe?..utamzalisha mwenyewe...Utamshona mwenyewe akichanika ...

Kama.hizi habari tushazisikia sanaaaa
Lakini Mimi binafsi Sijawai KUTANA na hii kadhia
 
Uyo atakuwa ni daktari feki

Kuna rafiki yangu ni daktari yeye huwa anatongoza na huwa hafanyi vitendo hivyo akiwa eneo la kazini
 
Habari ndugu zangu udaktari ni kazi ngumu sana na inahitaji moyo kuifanya ninawapongeza waliofanikisha na wanaofanya mpaka sasa maana kuna muda inatia stress sana hivyo huwa nao kuna muda huchoka. Licha ya hayo katika madaktari kuna ambao wana jiheshimu na wanao yapeleka mambo wajuavyo bila heshima na kufuata ethics za udaktari.

Kuna matukio mengi sana ya madaktari kutembea na wake za watu ( hapa naongelea madaktari wa kiume na hasa upande wa uzazi) bila mume kujua na kuelewa kwa kweli ukiachana na swala la wadada kujipendekeza wao wenyewe ila hata hawa watu hutumia nafasi zao kuwarubuni.

Mfano kuna mmoja ya binti jirani yangu aliwahi patwa na tatizo la uzazi hivyo alilazimika kwenda kusafishwa kizazi baada ya maelezo mafupi kuhusu hali yake kilichotokea ni kwamba daktari alimwambia kaa kitandani kama ilivyotaratibu kilichofuata akaambiwa toa nguo akatoa zilizo sehemu ya siri akafanya hatua za mwanzo "akamwongopea yule dada kwamba haiwezikani kusafisha njia mpaka kulainishwe basi dada akakubali basi wakati anasubili mara bwana mkubwa anataka kuweka rungu dada akastuka akakataa " kwa kweli hii habari imenisikitisha sana.

Pili kuna wake za watu wanawekewa vikwazo mpaka waweze kushiriki tendo na wataalamu wetu licha ya hilo kuna wale wakipewa huduma kwa sababu wamewachungulia basi madaktari hutumia nafasi hizo kuwatafuta na kuwatafuna.

Lengo langu je kwa nini? Madktari wakike hawafanyi hizi kazi kwa kulinda heshima na kuepuka unyanyasaji wa kisaikolojia kwa mwanamke ? Hata kama ni wachache lakini kwa nini kusiwe na jitihada ili kupunguza hili janga.

Je, haya mambo yapo kwa kiasi gani? Kama unajua sema kidogo juu ya hili na sisi kama jamii hili swala ni sawa?

Je, kuna kuna sheria za kulinda haki ya mgonjwa kati ya daktari (haswa wakiume kwa wakike na kivipi wakati wanakua wawili tu), (daktari wa kike kwa wakiume tusemezane pia kama ipo) ikiwa imebainika kuna unyanyasaji?

Malalamiko yako mengi nimetoa mifano kidogo ili kuelewesha wapi nalenga ila hapa nataka tujadili kwa upana hili swala hivyo nakarbisha mawazo yenu kwa uliyosikia na kushuhudia ili kuona namna ya kulikabili hili tatizo.

Mungu awalinde madaktari wawe na moyo mwema wa kujituma bila tamaa bila kwenda nje ya kanuni zao.

Amina.
Lazima awepo nesi wa kike wa kumu attend, labda iwe ni muda wa diagnosis
 
Daktari akila mkeo au binti yako na ukajua nakushauri nawe mle daktari jicho lake.
Ubaya ni ubaya.!
 
consultation room kila siku cute girls and ladies wanakuja unachukua namba tuu 😀...mambo ya kubaka wagonjwa wenye pv bleeding ama ma chronic sti's utawazaje mazee...kwenye zile procedure ataa huwezi pata hard on!
ilaa baada ya kazi una text totoz hatareee
 
Haijalishi ni rare au nyingi we kubali Sio kuleta ujuaji kwa vitu ambavyo huvijui
Wivu wenu wa kijinga msichafue madakari aisee, Wake zenu tu Wana k chafu zinanuka kwahyo madaktari ndo wale mizoga aisee. Mtu kashaona mamilion ya k za kila namna Hadi majogoo yao hayawiki kabisa leo mnawassingizia tu bure.
 
Haya mambo yapo Sana hakuna kufichana wala kudanganyana,

Nimeshakutana na malalamiko mengi tu ya wanawake ambao wanasema madaktari wamewatongoza baada ya kupata huduma kwao.

Kuna mmoja anasema alikuwa na Anxiety disorder lakini daktari akawa anataka kumfanyia vipimo kwa kuingiza vidole kwenye uke wake, halafu Dr mwenyewe kibabu kabisa hutaamini hayo mambo Kama anafanya.

Madaktari wabakie kwenye ethics zao tu maana kama kulala na wake, girlfriend's na dada za watu wanafanya Sana.

Mpeleke mkeo hospital bila usimamizi wako at your own risk.
Wanawake kupimwa huko kwa k na vidole ni Jambo la kawaida au wakati wa kusafishwa ni very normal, kabisa
 
Unawaonea gere tu madaktari sababu ungechukua nafasi yao hakuna rangi tungeacha kuona.🙄🙄🙄🙄

Nikuambie tu udaktari is a noble profession. Those people are guided by a strict code of ethics na Wana principles kali Sana.

Sisemi vimeo hamna lakini have respect for the majority of doctors who take good care of us- your sisters, mothers and aunts.

Mwanamke wako akiwa hajielewi, akiwa malaya atakuwa hata na mboga mboga na Bodaboda sasa hapo sijui utawasingizia nini na wao.

Hebu sometime call a spade a spade na mutulaumu sisi kwa makosa yetu wenyewe sababu tunetoa ushirikiano wala hatujabakwa.
 
Back
Top Bottom