Kwanini Maaskofu karibia wote wa kilutheri ni 'madaktari'?

Kwanini Maaskofu karibia wote wa kilutheri ni 'madaktari'?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari.

Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau tukajua ukweli ni upi tusijepigwa changa la mato.

Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
 
Japo sina uhakika sana hawa wana zile PhD za Theology
 
Kwa sababu kazi ya udaktari inahusiana na uhuishaji wa roho mbinguni hivyo inahitajika watu wa imani wawapeleke salama peponi shetani akose mgao jehanamu...
 
Kama maaskofu wana masters za theolojia basi waumini wao wawe angalau na diploma. Kuna maana gani mchungaji kusoma sana zaidi ya waumini wake? Hiyo elimu akafundishe kwa waumini wake pia
 
Back
Top Bottom