Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Hospital ulioenda nzuri... Wanakusafisha na kudungwa na masindanoHzo ni rare kesi Sana, Ila KWA nature ya hospital mtu kwenda kujifungua labour au kusafishwa ubakwe ngumu Sana maana kusafishwa ni procedures lazima udungwe mashindano, plus ma nurse kila corner ngumu jamani. Kwanza ni marufuku dr wakiume kuhudumia mwanamke ka kusafisha bila nurse wa kike na huo ndo muongozo




Mimi I had a miscarriage...ilikuwa dry dry mydear.....Yaaani hakuna Cha sindano Wala Nini. Ni vyuma tu na plastic....Nilisikia maumivu SI ya nchi hii....LOOOOH
Nashangaa huyo atake kubaka katika Hali hiyo...atakuwa na shida mahala
