Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

Status
Not open for further replies.
Tudhulumiwe tukae tunaogopaogopa kuitwa wadini> mtaita wadini mpaka mchoke, nyiyi msio na dini mbona mmewafelisha watoto zetu walio pasi?

Hellow pumba boy!

Watoto wamefeli wenyewe kwa kukosa kitu kichwani. Mabadiliko yameleta A 2 na B 8 zilizobaki F kama kawaida. Mwanzo nilidhani kutakuwa na watu wamepasua ile mbaya. Halafu ukiondoa Chuo cha Tanesco Morogoro, kuna chuo kingine kinafagilia Islamic nolej?
 
mfa maji.......,mimi naona km waislam wako fair aanze kawambwa kujiuzuru,kwanza wizara imemshinda kakaa kishkaji tu pale ,elimu inazidi kushuka hakuna jitihada zozote anazofanya,DOCTOR Ndalichako ni jembe chini yake tumeshuhudia mabadiliko makubwa ya kiutendaji NECTA,kuanzia mfumo wa uandikishaji,usahihishaji na hata utoaji matokeo,ninaamini na nitaendelea kuamini kuwa siku Ndalichako akiondoka hasa kwa mtindo unaopendekezwa ,waislam watajua kuwa tatizo sio Ndalichako ni mfumo wa shule zetu na wanafunzi wetu ambao hawapo serious katika kusoma, haiwezekani waziri wa elimu ni muislam,rais muislam na pia Necta kunawaislam halafu eti computer zichague wakristo wafaulu waislamm wafeli, mbona FEZA SCHOOLS ,KILINJIKO NA BAADHI YA SEMINARY ZA KIISLAM wanafanya vizuri? Nasema tena mfumo wa kiutendaji muslim schools una tatizo,ufuatiliaji wa watoto wetu unakasoro ,tuajili walimu wazuri na tuwasisitize watoto wetu wasome kwa bidii ninaamini watafanya vizuri,haya ni maoni yangu,unahaki ya kuyakubali au kuyakataa
 
Kiukweli waislamu wanayo haki ya kudai hivyo vitu japokuwa serikali yetu haina dini ila kuna baadhi ya viongozi wameingiza udini ktk kutekeleza majukumu yao na kuonekana kuwa wanamaslahi nayo ktk maisha yao ndio maana wanalilia mfumo wa kuandika majina drs 7 urudie ili waendeleze kuwakandamiza waislamu ktk kupata Elimu.

Issa Sharafi,
Fitnah imekatazwa kwenye Quran. Majibu mazuri wameshatolewa lakini bado fitnah haziishi. Mufti Issa Shabaan bin Simba amekosa busara kwa kubwabwaja maneno ya kiuchochezi huku akijua kuwa asemayo hayana ukweli wowote. Ingelikuwa marehemu Sheikh Hemed bin Jumaa, upuuzi huu usingekuwepo.

Hakuna idara yoyote ya Serikali ambayo haina watu wa dini zote hata kama wakristo watakuwa wengi zaidi. Hizi porojo nia yake ni moja tu ukosefu wa visingizio kwa kufeli kwa wanafunzi kwenye shule za Bakwata (kiislam) ukilinganisha na shule za wakristo. Lakini haitatatua janga la hizo shule na badala yake inaleta tu uchochezi. Tukubali tu kuwa Waislam tuko nyuma kwa sababu ya desturi ya walio wengi kuwahimiza watoto wao kupoteza muda mwingi kukariri Quran na kujifunz Qasda wakati wenzetu wananoa vichwa vya watoto wao wakiwa wadogo. Tumshukuru Nyerere kwa kuzifungua shule za Wakristo baada ya uhuru zikawa zinachukua wanafunzi wakiislam, bila hivyo akina Kikwete, Makamba na wengineo wengi wetu tusingekuwa na elim dunia.
 
Pelekeni watoto shule badala ya vyuo/madrasa ili waelimike,...muuache kulalama ili muonewe huruma na serikali....hii ni dunia ya ushindani sio kutwa kulalama.
hii ya madrasa umenikumbusha mama mmoja alipanda kwenye daladala na bintiye kwenye kulipa nauli akasema bintiye ni mwanafunzi...............basi konda akamuuliza anasoma la ngapi...... jibu la yule mama aliniacha hoi kiasi uwa sisahau hata siku moja na nilicheka mpaka nashuka kituoni........yule mama alimjibu konda kuwa bintiye anasoma madrasa...........
ndo shule anayosoma.
hawataki kusoma hafu wanataka kupata maendeleo.
 
Huyu Ponda si kuna wakati walisema ni Mrundi kama yule rafiki yake wa zamani aitwaye Mohamed Rukara ambaye walikuwa naye hapa TZ na baada ya CNDD/FDD kchukua madaraka shekh Rukara akateuliwa kuwa Ombundsman wa Burundi! Mwanzoni sikujua kama shehe Rukara ni mrundi. Huu urai wa nchi yetu usioeleweka eleweka unaweza kutuletea shida.

Hata Nyerere inasemekana wazee wake ni wa hukohuko.
 
Hellow pumba boy!

Watoto wamefeli wenyewe kwa kukosa kitu kichwani. Mabadiliko yameleta A 2 na B 8 zilizobaki F kama kawaida. Mwanzo nilidhani kutakuwa na watu wamepasua ile mbaya. Halafu ukiondoa Chuo cha Tanesco Morogoro, kuna chuo kingine kinafagilia Islamic nolej?

Recent study conducted by G.A. Malekela, a Christian Professor in the Faculty of Education at the University of Dar es Salaam, stated that in the government Secondary schools in Tanganyika in 1983, Christians were 78% and all non-Christians were only 22%. Christians are clearly over represented despite the fact that Muslims are 65% in the population of Tanganyika. The latest research done by the Dar es Salaam University Muslims Trusteeship (DUMT) and published in 1992 by Al-Haqq International showed that the number of Muslim students has been falling in the country's university Dar es Salaam and colleges. At the University of Dar es Salaam alone, the research reported that the total enrollment for the 1986-1990 was 4,191. Out of this number, Muslim students were only 586, or 13%, whereas Christians were 3,609 or 87%. It is was not therefore a sheer coincidence throughout his uninterrupted 24 years as the President of Tanzania (1961-1985), Nyerere, being a Catholic had always appointed a Christian to head the Ministry in Education. Muslims stated that because of this ever-increasing under-representation of Muslims in relation to Christians in Secondary and Higher Education, all key posts in the Tanzanian administration and public institutions came to be dominated by Christians, while Muslims largely relegated to menial positions such as drivers and messengers. The Muslims in Tanganyika are demanding their a fair share of the national cake because after independence, Tanganyikan Muslim student intake, is below 10%; the Muslim Cabinet ministers are negligible while Muslim principal secretaries and heads of parastatal organization are non-existent.
 
sikushangai kwa kuwa unatoka mahali pa umasikini wa kutupa isanzu au nduguti!

Isanzu huwezi fananisha na pwani au dar kwa wanywa kahawa wanaotegemea misaada kutoka arabui. Haao ni mabasha muwe makini
 
Makalio in action
 
Wana jf nyie mmesoma hamjui kuna tofauti kubwa ktk kupata wastani kwa kugawanya total marks/3 badala ya actual total marks/2?na hii ni formula iliyowekwa ktk computer ya kutoa majibu ya mtihani wa islamic knowledge!hatujui formula hii imetumiwa na baraza kwa miaka mingapi iliyopita!ndio maana kifungilo A za kumwaga Divinity ila kwa islamic ni C mpaka F
 
hawa watu mambo yasiyo na maana huwa wanayaona ye maana na yaliyo ya maana wanayaonaga hayana maana.

Lete maana ya 'maana' tujue 'maana' ina maana gani kwako,Pengine hujui jambo lenye maana kwako linaweza kuwa la kipuuzi kwa mwenzio!
 
Isanzu huwezi fananisha na pwani au dar kwa wanywa kahawa wanaotegemea misaada kutoka arabui. Haao ni mabasha muwe makini
mara ya mwisho kwenda kwenu lini?mtu wa bara utamjua tuu.kufika dar ndio usahau kwenu?kale mapama na matogo upate bongo isiwe bongo lala
 
Nimesoma na waislamu wengi walikuwa hawataki kabisa kusoma islamic knowledge wanasema ni ngumu sana, badala yake walikuwa wasoma bible knowledge. Fuatilia mitihani ya bible knowledge utakuta majina mengi tu ya kiislamu na wamefaulu vizuri tu.
 
hapo tu mitihan na suala litakuwa solved wangechomewa nyumba za ibada cjui ingekuwaje??wangelala barabarani...
Kiongozi ni kama umeniwahi katika mawazo yangu, nimekuwa najiuliza kama kule zanzibar misikiti ndio ingekuwa imechomwa moto nadhani leo hii tungesikia maandamano ya kutaka waziri wa ulinzi anyongwe, km alivyosema mwanajamvi mmoja mtu ameshakiri kosa na tena mambo yanarekebishwa lakini hatuelewi, nadhani hawa viongozi wa dini yetu wanapaswa kujiuliza mara mbilimbili kweli hakuna ya muhimu zaidi ya kufanyia mkutano kuliko hili?
Au hakuna taasisi zinazoongozwa na waislamu zinazofanya makosa kwa bahati mbaya, mbona hatusikii maandamano au tatizo ni vile huyo mama ni mkristo? ndugu zangu tuacheni hayo mambo tunayo mengi ya msingi ya kudai, najua hili ni lamsingi lakini sio la kuitishia mkutano wa hadhara.....poleni wote mliopata usumbufu katika mitihani yenu.
 
Marehemu kighoma ally malima akiwa waziri wa elimu aligundua ubaguzi uliokua unafanywa na necta,akaamuru INDEX no zitumike badala ya jina,sasa naona mtandao wa mfumo kristo wanatumia formula za computer kuwalima marks za waislam.hilo lawezekana kwa kutumia if select do this command
 
Kweli wewe ni kilaza wa kutupa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom