Hivi kwa nini haya masomo ya dini yasiondolewe kwenye mitaala ya serikali? Serikali si haina dini ya nini sasa kujishughulisha na kusimamia mitihani ya kidini! Wawachie viongozi wa dini kuendesha mitihani ya masomo ya kidini nje ya mfumo wa kiserikali ili kuepukana na mambo kama haya.
wazee wa pedo bana, sasa mfumo kristo unasimamiwa na mamluki Kikwete au ?? nyie mmetumwa na magamba kutudistract kwene ishu nyeti za katiba na 2015, hamumpati mtu.Kweli nimeamini! Ukizoea vyakunyonga vyakuchinja huviwezi. Hivi NECTA ni parokia? Kwanini computer zote zimejaa magospel songs? Hawa ndio wachakachuaji na wako tayari damu imwagike lakini wizara na necta hawaziachii na atakayefumua haya madude inamhitaji kuwa na roho ngumu kwani mfumokristo umeweka mizizi na inazidi kustawi hadi kutokezea nje. Hili limfumo kristo litasababisha maafa muda si mrefu.
Nashauri Ponda awe katibu mtendaji
Sio mazito ni ya kidini tu. Serekali ikemee huu udini unaoenezwa na ndugu zetu waislamu
Waislaamu wameamka sasa ndo tutenda sawa.Watu kitawauma sana.Kuna ukweli kwenye madai yao ndo maana wamemsimamisha kazi afisa wa It pale baraza la mitihani
Masai ya Kazuhiro tu Haryana musings wowoteLa 3 laweza kufanyika.... La 1&2 ni Kama kudai mahakama ya kadhi hayawezekani kwa Sababu hatuchagui watu kwa dini zao... Lakini kwa serikali ya JK lolote lawezakana!!!!
waislim wamechoka kuonewa juu ya mfumu uliopo baraza la mitihani wa kuwakata marks wanafunzi wa kiislam kila mwaka
waunde NECTA yao, hii wawaachie magalatia..kwani nani kazuia?