Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Kama inaweza kumponya mgonjwa mmoja tu ambaye yuko kwenye stage mbaya tena sukari+pumu+pressure.Kama "imeweza" kweli basi hiyo ndio dawa no doughty.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani marekani na who wananishangaza kweli kweli,watu wamepata dawa na wala hamjalazimishwa kuitumia lkn mnamtishia vikwazo, yaani Hadi dawa itoke kwao ndoo iwe dawa?

Kwa tabia hii ya wazungu MUNGU awaongezee matatizo,wamekosa dawa mwafrica ameona hii kitu tutumie dawa ya miti shamba lkn wakiona mwafrica kapata dawa au kajitibu hawaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi daktari. Najua utaratibu wa kutengeneza na kupata dawa. Huoteshi dawa. Kuna taratibu zake. Ndio maan ukasikia WHO wakakwambia kuwa itachukuwa miezi 12-18 kupata chanjo ya corona kwa sababu taratibu hizo zinachukuwa muda.
Kuwaloga katika lipi mkuu?

Kwa sababu nchi zao hazitakiwi kufanya utafiti wa chanjo wala tiba za magonjwa siyo?

Mkuu au na wewe ni wale wale WHO wabaguzi na hawaziamini nchi zetu za Africa Kwa kila kitu, Kama wewe sio wao, Anza kupenda vya kwenu sio kutukuza Wazungu, wanaotuona nusu watu, nusu Nyani, myeusi mingine bhana
 
Mimi daktari. Najua utaratibu wa kutengeneza na kupata dawa. Huoteshi dawa. Kuna taratibu zake. Ndio maan ukasikia WHO wakakwambia kuwa itachukuwa miezi 12-18 kupata chanjo ya corona kwa sababu taratibu hizo zinachukuwa muda.
Mkuu, nje ya WHO hairuhusiwi mtu mwingine kufanya usfti na kuja na jibu?
 
nimesikia marekani wamempiga biti huyo president kwamba akiendelea na huo uganga wake wa kienyeji watakata misaada.
 
nimesikia marekani wamempiga biti huyo president kwamba akiendelea na huo uganga wake wa kienyeji watakata misaada.
Ama kweli, Marekani ni washenzi haswaa, hawataki mwingine avumbue tiba Ila Wao, ni Wakati wa Africa kuungana aisee
 
nimesikia marekani wamempiga biti huyo president kwamba akiendelea na huo uganga wake wa kienyeji watakata misaada.
Ni wapumbavu. Rais wa Madagascar keshajitoa W.H.O na kuyataka mataifa mengine ya Africa yafuatie. Madagascar hajafa mtu na wamepona wako fit. Hiyo dawa ina ushahidi wa kuponya kabisa covid-19. Ila hayo mataifa ya magharibi kama unavyojuwa tena wana mtima nyongo.
 
Kuna siku DW walisema nnchi nyingi tu hata hiyo Matekani wanawa hofia pengine huenda wanapika data na kusema uongo kwa sababu za kisiasa zaidi,ndo maana hata waandishi wa habari hawapewi kipaumbele katika nmchi nyingi watoe taarifa tofauti na Serikari tu basi.
Kwao vitu ni muhimu kuliko uhai.Vitu uwapa Kiki kuliko uhai ni cha kupita
 
Mbona hata sisi tiyari tuna dawa yetu ya asili!.
Madagascar hadi sasa ina cases 128,death 0,recovered 82.

Guinea Bissau leo wameenda kuchukua dawa hizo Madagascar ,nashauri balozi wetu kule afanye diplomasia tupate hizo dawa.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom