Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Ni Sikh kadhaa sasa Madagascar wametangaza dawa inayotibu na kuzuia maambukizi ya corona. Tukumbuke kuwa nchi hio haina kifo chochote. Tangia wagundue hio dawa hakuna visa vilivyogundulika vipya. Dawa hio imegunduliwa na dakatri Wa kiafrica kabisa mzaliwa Wa Congo. Mpaka sasa Senagal, Guinnea, Ghana zimeshaanza kuweka order. Ila nchi zingine za kiafrica kimya. Ina maana sisi Wa Africa hatuaminiani? Madagascar atatengeneza historia. Namuasa Dr John Pombe Magufuli aweke order. Naamini hio dawa ni tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mfuatiliaji wa mambo raha sana huwezi kudanganywa kirahisi. Ukweli ni kwamba takwimu za corona za Madagascar wala sio za ajabu kuna nchi nyingine nyingi sana zina takwimu nzuri zaidi hakuna vifo na kesi haziongezeki. Hivyo yawezekana dawa sio sababu kubwa bali mambo mengine.
 
week ya Nyungu( Chungu?) Tanzania
.
FB_IMG_15879323205222240.jpg
tapatalk_1588158288306.jpg
 
Tusiwapuuze Madagascar sana hoja ya msingi sana tofauti ya Madagascar na Rwanda ni kwamba Rwanda hawajatangaza siri wanayoitumiakuwaponyesha wagonjwa

Tukihoji ubora wa Tetradenia riparia tuhoji pia Artemisia plant inayotibu malaria

Tuhoji pia Remdisir ya Ebola
 
Mbona limbwata,shuntama,kipapai,zongo nk zinafanya kazi na hazijasubiri kibali cha uhakiki toka WHO waafrica tuache uzembe turudi Eden
 
Tusiwapuuze Madagascar sana hoja ya msingi sana tofauti ya Madagascar na Rwanda ni kwamba Rwanda hawajatangaza siri wanayoitumiakuwaponyesha wagonjwa

Tukihoji ubora wa Tetradenia riparia tuhoji pia Artemisia plant inayotibu malaria

Tuhoji pia Remdisir ya Ebola

Kwahiyo sasa hivi ule Uwongo wenu wa Kujifukizia ( Nyungu ) mmeuweka Kando na Ngonjera zenu zimehamia Madagascar?
 
Chausiku mpenzi kama yanayokusumbua ni maradhi, yapeleke kwa daktari Mimi siko tiyari kuliacha rumba, kwa ajili yako" sasa kuwa makini na tcra usije hta ilo rumba ukashindwa kulicheza tena.ukawa umemkosa chausiku na rumba lenyewe
 
Tetradenia riparia ina majina mengi ya kitanzania!

1. IYOOMBO -kwa kichagga
2. IKINGI - kwa Kibosho
3. OMUSHUNSHU -kwa kihaya
4....................
 
Back
Top Bottom