Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

Hii ya madagasca iko vizuri,imeshakuwa processed na pacage yake inavutia,
Ila hiyo ya kwetu imekaa kama
1024x576_bonus-Rajoo.jpg
1024x576_bonus-Raj.jpg
togwa
 
Hapa ndipo ninapoitaka serikali yetu iongeze juhudi ya kuwahamasicha watanzania watafute dawa na wailete ili izinduliwe rasmi,kawma walivyofanya wenzetu huko Malagasy
 
Mbona hii lable yake imekaa kizushi,
Leteni vitu vya kweli wacheni mambo ya mizaha,
Mleta uzi ametowa wazo Muruwa kwa taifa au kwa wafanya biashara,
Lakinibahatimbaya Anga zimefungwa si juwi tutafikaje kule ,labda kwa meli.
kweli imekee kiaina kwenye adam na hawa apo,hawa mbona kainama sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia rais wa senegal kaomba msaada kwa madagascar
Hapa ndipo ninapoitaka serikali yetu iongeze juhudi ya kuwahamasicha watanzania watafute dawa na wailete ili izinduliwe rasmi,kawma walivyofanya wenzetu huko Malagasy

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Pole na majukumu wanajamvi na tuzidi kujikinga na gonjwa hili la CORONA.

Rais wa Madagasca hivi karibuni ametangaza ugunduzi wa tiba ya COVID-19
Baadhi ya nchi kama senegal Rais wao ameonesha kupongeza na kuomba hiyo Tiba iwafikie.

Lakini WHO wameonesha kutoikubi hiyo dawa.

Je, Afrika tunalichukuliaje hilo au wanataka kila kitu kigunduliwe na mzungu tu.

Au ni changa la macho wanataka waje wafanye uchunguzi wachukue sampo za mimea alafu wakadevelop huko Ulaya baade watangaze Dawa yao ambayo itatokana na mimea hiyo waliyoipata Huku Afrika.
IMG-20200428-WA0006.jpeg
IMG-20200428-WA0009.jpeg
IMG-20200428-WA0008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20200428-WA0008.jpeg
    IMG-20200428-WA0008.jpeg
    62.5 KB · Views: 10
We utakuwa mtaalamu wa historia

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
chama mpangala,
Naingojea Corona ituunganishe waafrika tuwe kitu kimoja, Ili Ndoto ya Ghadafi iweze kutimia,
Mungu tusaidie tupate Muungano wa Afrika wa kweli wenye tija ,sio kama huu wa Tanganyika na Zanzibar unaolindwa na Mtutu wa Bunduki ,hakuna aneyetaka kujiunga na sisi kwa mfumo huu,tumebaki pekeyetu.
Leteni dawa ya corona Tanzania.
Honngereni Madagaska,machotara wa kireno, na kiarabu na kiafrika wametowa kitu 👍 🙏
1024x576_bonus-Rajoo.jpg
 
Ni Sikh kadhaa sasa Madagascar wametangaza dawa inayotibu na kuzuia maambukizi ya corona. Tukumbuke kuwa nchi hio haina kifo chochote. Tangia wagundue hio dawa hakuna visa vilivyogundulika vipya. Dawa hio imegunduliwa na dakatri Wa kiafrica kabisa mzaliwa Wa Congo.

Mpaka sasa Senagal, Guinnea, Ghana zimeshaanza kuweka order. Ila nchi zingine za kiafrica kimya. Ina maana sisi Wa Africa hatuaminiani? Madagascar atatengeneza historia. Namuasa Dr John Pombe Magufuli aweke order. Naamini hio dawa ni tiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom