Acha kusaport BroKwenye swala la Covid-19, kuna uwezekano mkubwa sana kua WHO wanahusika.
Kwanini wapinge dawa ambayo imepatikana? Kwanini wasisupport hiyo tiba ili iokoe ulimwengu kwa ujumla?
Boss wa WHO siyo Mzungu ni Mu EthiopiaNdo maana nasema nina mashaka na hao wazungu, Walishatuchukuliaje sijui?
Na ikiwezekana kabisa waichukue wakafamnyie uchunguzi wa hiyo Dawa zaidi sio lazima tuwasikilize wao tu.
Ndo maana nasema nina mashaka na hao wazungu, Walishatuchukuliaje sijui?
Na ikiwezekana kabisa waichukue wakafamnyie uchunguzi wa hiyo Dawa zaidi sio lazima tuwasikilize wao tu.
Najua ni Mwafrika lakini wanao mcontrol ni hao hao tu kama hajielewi na yeye.Boss wa WHO siyo Mzungu ni Mu Ethiopia
Ni kweli mkuu, hawa wanataka kupiga hela na kutufanyia ya kutufanyia humo humo.Mkuu heri wasifanyie uchunguzi ,wakienda maabara kuichunguza watakuja na result za kudanganya kwamba haifai kwa afya ,hawa wazungu sio kabisa
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧