Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,252
kwani ni kitu gani?Tetradenia riparia ina majina mengi ya kitanzania!
1. IYOOMBO -kwa kichagga
2. IKINGI - kwa Kibosho
3. OMUSHUNSHU -kwa kihaya
4....................
nimescroll nione hata picha nakutana na stress tu!