Madada zangu hili ni kawaida? Au ni huyu niliye naye?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
 

kawombe

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
4,084
2,000
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia. sasa kumuambia achangia gharama analia. nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?
je hii vip wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
Wako ivyo tu hao kushea costi hawatakagi kabisaaa
 

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Wengi wao ni kawaida kutotoa

Mungu kakuonesha mapema what kind of a girl you are to marry

Akili kumkichwa. . .chukua hatua
Hatua gani nichukue? embu fafanua maana naona kama kawaida ya wanawake kutokuchangia ata kama ana kazi
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,085
2,000
Hujasema yeye anakipato gani?
Isije siku ukaomba akuchangie mahari
 

Joanah

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
14,864
2,000
Hatua gani nichukue? embu fafanua maana naona kama kawaida ya wanawake kutokuchangia ata kama ana kazi
Mkuu hadi hatua ya kuchukua kwa mke mtarajiwa mchoyo nikutajie??

Hadi unaelekea kuoa utakua ni matured enough kufanya maamuzi yako binafsi

Kama ni kawaida kwako kwa mke kushindwa kukusaidia ulipokwama basi mimi sina cha kufafanua hapo
 

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,158
2,000
Kuna siku nilikua nimebanwa sina hata ile shi tano, na mwisho wa mwezi ulikua unakaribia yan mshahara ulikua unatoka kesho yake ilikua usiku nilka na uhusiano na demu 1 sa nkamuba 2000 japo nikale na pesa alikuanayo aligoma kunipa nilikasilika sana badae akagundua kua nmekasilika akatoa hela akanipa nikaikataa na hiyo ndo ilikua siku ya mwisho kua nae nilimtema na nikamwambia kosa lake ni nini
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
si kitu cha kucheka lakini duh sasa analia kwani hakuona unavyotoa pesa. Siku nyingine jiongeze uwe na pesa nyingi usimlize mwenzio
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
si kitu cha kucheka lakini duh sasa analia kwani hakuona unavyotoa pesa. Siku nyingine jiongeze uwe na pesa nyingi usimlize mwenzio si kawaida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom