Madada zangu hili ni kawaida? Au ni huyu niliye naye?

Hivi tukiwa tunatongoza huwa tunaomba tushiriki kwenye penzi au tunaomba tenda ya kutoa ufadhili?

Mi nimeyakurupukia mapenzi.
Nisaidieni hapo kidogo.
 
Robidinyo una akili!!!! We kidume. Hakuna kuremba,piga chini. Mwanaume msimamo siyo trouser.
 
Hujasema yeye anakipato gani?
Isije siku ukaomba akuchangie mahari

kwa kweli hajawahi kuniambia ila yeye ni wakili wa kujitegemea na hivi majuzi nilipata taarifa ameingia kwenye chama la mawakili wanawake
 
Nawe unaendaje kwa wazazi hujajiandaa na akiba ya kutoshakilichomliza Alijua utamtia aibu tu hata hujabeba ka hela kidogo ka wazazi,siku nyingine ujiongezege...mfyuu...!!!
 
Mkuu hadi hatua ya kuchukua kwa mke mtarajiwa mchoyo nikutajie??

Hadi unaelekea kuoa utakua ni matured enough kufanya maamuzi yako binafsi

Kama ni kawaida kwako kwa mke kushindwa kukusaidia ulipokwama basi mimi sina cha kufafanua hapo

Nimekuelewa sana sasa ngoja nivute mwaka mwingine wa tano niangalie huku nikianza kumtega nione kama atakuwa tayari kuingia mfukoni
 
Najua cost zangu ila sasa mambo yanapokuelemea unaitaji msaada sasa kwa hili unafanyaje?
mkuu ulitakiwa ujipange vizuri, hutakiwi kuonesha udhaifu wowote ukweni, kodi hata hummer ili mradi tu ukawashawishi kuwa unaweza kumtake care mtoto wao.
 
si kitu cha kucheka lakini duh sasa analia kwani hakuona unavyotoa pesa. Siku nyingine jiongeze uwe na pesa nyingi usimlize mwenzio

Sasa miss ina maana mimi nijikune ata sehemu ambazo sizifikii kweli wakati nina mtu atanisaidia kujikwamua! sasa kama ndo hivi siku nikikwama kabisa inakuwaje?

inafika kipindi mpaka hamu ya kuoa inaisha kabisa bora utembee huku na kule kuliko kuwa na mzigo unaoubeba hautaki na wewe uonje raha ya kubebwa
 
Angesaidia hata kwa mkopo.

Nilikua na mmoja kila siku anasema hata njaa tutalala ama tutashindia mkate.
Siku nimekatwa mshahara tu na kuchelewa kumgea hela ndani ya wiki nikaona mabadiliko makubwa..and this was somebody I planned to marry

Hoes aint loyal
 
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
Namba ya kichaga unaisoma!
 
Najua cost zangu ila sasa mambo yanapokuelemea unaitaji msaada sasa kwa hili unafanyaje?
We nawe si upige chini tu,kusoma hujui na picha nayo huoji,au unataka tuje kukuimbia Huyo ni chaguo lakoo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom