Madada zangu hili ni kawaida? Au ni huyu niliye naye?

Piga Chini Haraka Huyo Demu. Ni Tegemezi Kama Mdudu Kupe. Huwa Wanatia Aibu Sana Hao Mkuu.

Unafariki Leo Kesho Anatafuta Bwana Wa Kumlisha, Maana Hawezi Kujisimamia.
Au Mfano Umepata Ajali Hujiwezi Tena Umekuwa Mlemavu Kabisa, Huyo Hawezi Kutafuta Ili Ule.
 
Unatafuta mke au business partner!?

Msema peke siku zote hushinda, wewe ndiye wa kupigwa chini, unaanzaje kwenda kujitambuliza wakati hujajipanga?! Analia kwasababu anaona amejiingiza kwenye majanga!

Hujamuoa tu unalialia kutaka kukopa, je ukiwa kwenye ndoa sio utaacha kabisa majukumu yako!?

Usilazimishe kusaidiwa, akijisikia kukusaidia sawa lakini usilazimishe!
 
44ed82561d350ce5650b8b618e5ebaa8.jpg

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
 
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Wrwe

Wewe ndio ulitakiwa ulipie gharama zote za kwenda na kurudi ikiwa Ni pamoja na malazi, Ni wajibu wako wewe mwansume wala hupaswi kumweleza mchumba wako. ILA hiyo mchumba wako hakupaswa kulia, alicho takiwa kufanya Ni kuwa mwazi na sio kulia.
 
Mkuu;
Ka ni ufala kweli umenukisha. Ati 220000 tiyari umeishiwa. Unaenda ukweni, mtoto wao umemchuna 4 yrs bureeee bila hata malipo. Halafu unatoa kwa mahesabu, "Mtarajiwa wangu, tizama nauli hiyoo, tumekula shs .... paleee, sasa nimeishiwa kwani nimeshatumia laki 2 na 20." Ptyuuu. Anastahili kulia kwani umemvunja moyo. Akaanza kujiuliza, hivi tu hatujafika home, pale ataniaibishaje?? Aliwaza unavyo jitutumua huko makaoni mwenu, na kilio chako tu ati umetumia 220 thou kwa ajili ya umpendaye. Acha hizo. Hakunaga gharama kwa yule nimpendaye.
 
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
kimbia kama hauna breki mkuu
 
Mtakapo funga ndoa naomba utamkumbusha mfungishaji kwamba nyie mtakuwa pamoja ktk raha, ktk shida utakuwa peke yako huku mke akiwa hahusiki na shida....utapambana peke yako. Tena msisitize sana!!!
 
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.

Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.

Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?

Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?
Uwiiii.... ungemjaribu jaribu kali.... ungemwambia safari inaishia hapa turudi tutaenda wakati mwingine nikawa na pesa ya kutosha.......
 
Maisha kusaidiana hata kama mume ndio kichwa cha familia, huyo dada ni mbinafsi tu maana kama mpenzi wake lazima alijua mfuko wa mwenzie ukoje toka walipoanza safari
 
Jiandae kisaikolojia mana huko mnapoelekea stress za kutopata support katika kipindi kigumu zitakiandama sana.
Huwezi ona mwenzio kakwama ushindwe kumsaidia tena una malengo makubwa ya kuja kuishi nae.
Watu wa hivo uwe na moyo wa kuvumilia kama huna sidhani kama hiyo ndoa itakuwa na amani.
Kaa zungumza naye.
Huwa inauma sana basi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom