Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,790
- 6,765
Wiki hii siku ya jumatatu mimi na huyu mwandani wangu tulipanga safari ya kwenda kujitambulisha maana kwa miaka 4 tumekuwa kwenye mahusiano.
Sasa baada ya kukata tiketi siku ya safari iliwadia. mida ya saa 0530 tuliwasili na safari ilianza saa 1200. tulipo fika nzega gari lilipata pancha. ikabidi tusubiri mpaka litengamae. tulipofika tena monduli gari likachemsha kwa sababu maji kwa radiator yalikuwa hayatoshi. safari ilikuwa ya mshike mshike mpaka nafika arusha saa nne za usiku. kwa vile nilikuwa mara ya kwanza kufika sasa kutafuta chumba cha kulala na chakula almost sh. 220000 kuanzia mwanzo wa safari.
Kilichonishangaza wakati akiba yangu inaniishia nikamwambia,"baby, hapa akiba yangu kama inaniishi". nilichoshangaa akaanza kulia, sasa kumuambia achangie gharama analia?
Nimetumia akiba yangu mimi na yeye na bado namwomba anisaiidie pale mkono wangu haufiki anaanza kulia. japo nilijikamua ili nisimkwaze, japo tulifika na kurudi salama?
Je hii vipi wana MMU ni kawaida wadada kutotoa hela kwa mmeo?