Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Ina maana kwa wale ambao tunakua na waume zetu mida hio... no Problem with us? :A S 39:
 
Kwanza karibu sana JF. Nimeona umejiunga jana. Sheria za JF umezipitia? Umezielewa vizuri? If so, unaweza unakabonyeza kifute cha "REPORT ABUSE" na kuwaripoti kwa Mods wale wote wanaokaa JF 24 hours kama unaona ni kinyume na sheria za JF. Wewe kila ukiamka unakuja kusoma habari JF, unafikiri kama wote wangelala ungekuja kusoma nini hapa?

Kwa hiyo ukianzisha thread yako, wachangie tuu machana lakini sio usiku wa manane kwa sababu watakuwa wanaenda kinyume na fikra zako? Au basi na wewe pitia na changia tuu zile threads zinazoanzishwa mchana tuu kama za usiku wa manane ziko kimyume na fikra.

Mpaka sasa bado sijajua kinachokuwasha. Unadai aliyeleta hii thread kasema ukweli. If so kwa nini ameomba msamaha?

EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Najua nimeianzisha hii topic nitaogelea matusi kutoka kwa wadada mpaka basi, lakini kwangu haijalishi mtasema, mtaponda kimpango wenu.

Nawauliza wenzangu mnandoa, mnamajukumu? Usiku kucha kila topic ukiangalia saa 7 au 8 mpo tu wenzangu! Maana hata muda wa kushughulika na kazi nyie mko hewani tu, sijui hata hao mashemeji mnawapa haki yao saa ngapi?
Au wenzangu muda huo mnakuwa mko ofisini sasa wakati mnasubiria ******** mnazuga kwenye Internet??

Punguzeni basi, najua mtasema nimewatusi, kama limekugusa badilika. Naomba msamaha.
Yawezekana nawe unakesha ndo maana umejua hayo.
 
........ Ila kwa sasa,wataniona hadi wapasue laptop zao!!

Confirmed

EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!

Noted.
 
Ina maana kwa wale ambao tunakua na waume zetu mida hio... no Problem with us? :A S 39:

Kaongelea swala la mashemeji, that means mnaweza kuwa included!! Hahah alafu nahisi kaharufu ka mtu kuibiwa, haiwezekani kila thread ya kukesha ilalamikie wadada tu.....kwani wanaume wao hafai kuspend the night na wenza wao?? Lol
 
EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!

Whatsup Belle.
 
Back
Top Bottom