afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
Hakuna ubaya. Tena wawezakuta both baba na mama wako JF kwa wakati huo mmoja.
Dahhh EMT...
Kuna kitu nilikiwaza siku za karibu...
Hapa JF na utani wetu wa hapa na pale
Baina ya member wa kike na wa kiume ..
I was just wondering hivi watu hapa hawatongozani na wenza wao kweli ? Itakuwa vipi waki pelekana PM halafu ukweli ufunuke?