Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Madada Wenzangu wa JF Vipi?

EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!

Halafu hapa umeongea ukiwa siriaz kweli........kula big five!!!
 
Kaka zako nao wanakuwa wamechoka baada ya majukumu ya kazi za kutafuta mkate wa siku na kuhudumia nyumba ndogo.
 
EMT, hawa hawajajiunga jana wala nini! !Ni watu tu wamekosa attention,kinawakera wenzao kupendwa na kina Babu ODM na kupewa attention basi waenda jifungulia ID mpya na kuja kuleta upupu wao....na watawashwa sana mpaka waingiziwe mabomba kwenye **** na ****** ndo wapate unafuu.....!!
Hahah khaa... Na kupendwa na ODM ni bahati manake unakuwa umepata uhakika wa kwenda peponi siku uki-RIP. Wenye wivu wameze viwembe vyenye kutu...... AshaDii shem langu la ukweli hapo juu, hebu come this way nikupe ile haki yako fasta.
 
Hahahaha. . . atakua amekusikia dearest.

hivi wewe skudai kweli? fanya haraka sana nina nusu saa tu kabla press conference yangu ya kufafanua "athari za viwembe kwa unyoaji wa sehemu laini" haijaanza
 
Fellow tablet nipe hongera, Lizzy ana ujauzito wangu. ushahidi zaidi akijifungua nitampeleka DNA asje akaniuzia mimba ya figganigga. Mia

Kloro. . . kama kawaida yako huwezi kunyamaza. Sasa unamwambia ili?

Missed you though.
Kheri ya mwaka mpya.
 
Kloro. . . kama kawaida yako huwezi kunyamaza. Sasa unamwambia ili?

Missed you though.
Kheri ya mwaka mpya.

heri ya mwaka mpya iangaze kwako nje na ndani, pembeni na katikati, usoni na kifuani. Aaaaamen!
U r double missed here, naomba listi ya waliokutongoza haraka iwezekanavyo nianze kuwashuhulikia
 
Fellow tablet nipe hongera, Lizzy ana ujauzito wangu. ushahidi zaidi akijifungua nitampeleka DNA asje akaniuzia mimba ya figganigga. Mia
Habari njema fellow tablet. Breaking news ni kuwa Michelle amekubali ule mpango wetu. Mimba ya Husninyo nimembinafsishia Kaizer. BTW ushamwona ADI akiwa katinga pensi nyanya? Njoo continental leo kwenye khanga moko. Achana na Kaizer bana....
 
You were missed, big. Asante kunitia macho nuru na heri ya mwaka mpya
Heri ya mwaka mpya,
with this post coming from inside you, nadhani mwaka mpya wangu utakuwa na baraka sana aisee.
U were missed beyond explanation.
mwaga razi
 
Klorokwini

Happy New Year shemeji Lawyer.
Jana tu niliulizwa uliko, nami nikauliza uliko.

Kuna mtu anataka umsaidie kesi ya madai!
 
Habari njema fellow tablet. Breaking news ni kuwa Michelle amekubali ule mpango wetu. Mimba ya Husninyo nimembinafsishia Kaizer. BTW ushamwona ADI akiwa katinga pensi nyanya? Njoo continental leo kwenye khanga moko. Achana na Kaizer bana....
heheeh nitatia timu aisee, niliwahi kumuona husninyo kalamba kitop cha mgambo na bukta oversize nazani kaazima kwa sweetlady, manake sweetlady akipanda daladala anadaiwa nauli ya mtu mbili
 
heri ya mwaka mpya iangaze kwako nje na ndani, pembeni na katikati, usoni na kifuani. Aaaaamen!
U r double missed here, naomba listi ya waliokutongoza haraka iwezekanavyo nianze kuwashuhulikia
Ohhh ahsante laaziz.

List hata sina haja ya kukupa, wamejiorodhesha wenyewe pale chiti chati. Nlikua nawaambia Kloro kashaniwahi jamani hata hawaelewi. Missed you SAAANA.
 
Back
Top Bottom