Madada Wenzangu wa JF Vipi?

Duhhhhh Doto ..
Eti Kuna kanuni Inayosema muda wa kutiana ni saa 7 au 8 za usiku.. ?
 
Oh.. Kumbe huu uzi ulimwanzishia Lizzy? Sorry sikujua.

Sijamaanisha hivyo, ila naona kama amefikiri nimemuanzishia yeye mpaka akatoa full time table yake ya life...! Nadhani niombe msamaha yaishe!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Duhhhhh Doto ..
Eti Kuna kanuni Inayosema muda wa kutiana ni saa 7 au 8 za usiku.. ?

Kwa wanaoishi na extended Family muda huo ndiyo muafaka... Lakini mara nyingi muda huo aidha wanaume wanakuwa wanaangalia mpira wa Ligi ya Spain (kama jana usiku kuamkia leo) au ndiyo wanarudi kutoka nyumba za wenyeji baada ya kupitia BAA!
 
kwani shosty kinachokuuma haswa nn wenzio wakishinda jf 8 usiku.
maana kama ndoa zao ziko mashakan ni wao, kama hawana usingiz ni wao, ss ww unakuja leta msuto hapa kwa mambo ya kijinga kbs.
hapa kila mtu ana akili sahihi anajua anachofanya waja kutusahihisha kwan ??? tunajua tunachofanya mama sawa??
au una ogopa mida huyo watakuwa wanamflirt mumeo nn au bf wako?? kazi kweli kweli !
kajipange mama hapa jf sie kwa raha zetu 24/7.
 
Nauliza tu ..
ukifanya mchana , asubuhi , au jioni haihesabiki? Lazima iwe usiku wa manane
Kwenye giza tororo na na blanket kwa juu ?

Kama haihesabiki, mie ninayefanya outdoor si ndio balaa kabisa?
 
Kwa wanaoishi na extended Family muda huo ndiyo muafaka... Lakini mara nyingi muda huo aidha wanaume wanakuwa wanaangalia mpira wa Ligi ya Spain (kama jana usiku kuamkia leo) au ndiyo wanarudi kutoka nyumba za wenyeji baada ya kupitia BAA!

Really ,
Hii inahuzunisha kweli kweli , dahhh nlidhani
Raha ya kutiana ni pale ambapo hampangiani
Saa au muda .. kwa hiyo kama huyu dada mzuri atakuwa na alarm clock saa 7-8 za usiku yuko kibaruani..

Haya hapo chini
Wababa hao wamezamia kwenye soccer
Kuna ubaya gani kina mama wakiingia
JF ?
 
Back
Top Bottom