Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Dah! kibuti kwa lugha ya taifa, yaani kila mtu kaelewa.
sasa mbona ngo'mbe zangu mmekula? acheni zulma bana
Si za kunitumia hadi hatua hiyo? ulidhani bure kisa mi housegirl wenu?? we vipi?
Dah! kibuti kwa lugha ya taifa, yaani kila mtu kaelewa.
sasa mbona ngo'mbe zangu mmekula? acheni zulma bana
Kwa wanaoishi na extended Family muda huo ndiyo muafaka... Lakini mara nyingi muda huo aidha wanaume wanakuwa wanaangalia mpira wa Ligi ya Spain (kama jana usiku kuamkia leo) au ndiyo wanarudi kutoka nyumba za wenyeji baada ya kupitia BAA!
Halaf nimeona ka sredi ka hashy ka uzushi uzushi, ndo anaekuzingua nini? achana na mafukara bana! mzembe getto nina AC mpaka store ya kuhifazia mkaa, njoo ukule raha bila kodiSi za kunitumia hadi hatua hiyo? ulidhani bure kisa mi housegirl wenu?? we vipi?
Halaf nimeona ka sredi ka hashy ka uzushi uzushi, ndo anaekuzingua nini? achana na mafukara bana! mzembe getto nina AC mpaka store ya kuhifazia mkaa, njoo ukule raha bila kodi
neno gentleman liliingizwa kwenye dikshineri baada ya kuzaliwa mimi. Worry not Michelle.Huu mwaka kweli mzuri, yule ni historia....nakaribia kufika hapo....usijabadili mawazo bure!
Gender balance...if he has nothing to offer....you offer him something dearest..don't let me down!