fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,109
- 19,986
Am in love with this pic. Ngoja niiweke Kama wallpaper yangu kwenye simu.
Am in love with this pic. Ngoja niiweke Kama wallpaper yangu kwenye simu.
Dah very trueThe image that speaks a lot of words
View attachment 1715060
Binadamu ni mnyama anayeweza kukimbia umbali mrefu KWA Muda mrefu bila kuishiwa gas (bila kuchemsha) hii ni KWA sababu mwili wake hauna nywele nyingi ,anapokimbia mwili wake hutoa jasho kama kipozeo,mnyama mwingine anayekaribiana uwezo wa kukimbia umbali mrefu bila kuchemsha ni mbwa mwitu,(african wild dogs) viumbe hawa wote wawili (binadamu na mbwa mwitu) huwinda KWA mbinu iitwayo PERSISTENT HUNTING ,yaani unafukuzia windo mpaka linachemsha (Overheat)Tupia chochote kuhusu wanyama
Kibaya
Kizuri
Cha kuelimisha
Cha kuchekesha
Cha kushangaza
Cha kuhuzunisha
Cha kufurahisha
Cha kusikitisha nk nk
View attachment 1709936
Subili nitoe maelezo kidogoUkizalisha simba dume na tiger jike unapata liger. Bonge la paka.
View attachment 1714696View attachment 1714697View attachment 1714698View attachment 1714699
AhsanteSubili nitoe maelezo kidogo
Simba na Tiger wanaweza kukaa pamoja na kuzaliana lkn endapo dume akawa ni Tiger na jike akawa ni simba basi watoto wakizaliwa wataitwa Ti-Liger , kama dume ni simba na jike ni Tiger basi watoto wakizaliwa wataitwa Li-Liger !
Endapo mtoto dume akizaliwa kwenye icho kizazi anakuwa anauwezo wa kuzalisha ( infertile )
(Hii nadhalia ijakamilika kisayansi maana wakifanya kipimo cha mfumo wa uzazi wanaona upo sawa kabisa lkn walivyo chukua Male Li-Liger na Female Li-Liger walikaa kwenye Zoo Moja kwa Zaid ya miaka nane lkn akuna mtoto aliye patikana )
Endapo jike akizaliwa kwenye icho kizazi ivyo Basi anaweza kuzaa vizuli kabisa na kuendeleza kizazi
Kitimoto hichooo! 🤣 🤣 🤣
Uwindaji wa mbwa mwitu haufanani bwana, binadamu anafanana na wanyama wengine kwenye uwindaji lakini sio mbwa mwituBinadamu ni mnyama anayeweza kukimbia umbali mrefu KWA Muda mrefu bila kuishiwa gas (bila kuchemsha) hii ni KWA sababu mwili wake hauna nywele nyingi ,anapokimbia mwili wake hutoa jasho kama kipozeo,mnyama mwingine anayekaribiana uwezo wa kukimbia umbali mrefu bila kuchemsha ni mbwa mwitu,(african wild dogs) viumbe hawa wote wawili (binadamu na mbwa mwitu) huwinda KWA mbinu iitwayo PERSISTENT HUNTING ,yaani unafukuzia windo mpaka linachemsha (Overheat)
NB. Wanyama wenye nywele nyingi mwilini Wana speed kubwa ila hawawezi kumaintain hiyo speed KWA Muda mrefu kama binadamu na mbwa mwitu huwa wanachemsha fasta (OVERHEAT) na wakichemsha huwa hawawezi hata kutembea wanadondoka chini mpaka mwili upoe.
Wanyonge huwa tunabeba mafurushi makubwa na mizigo mikubwa sana ila ukipiga thamani ya vilivyomo unakuta buku jero hadi buku tatu.
Anaukubwa gani yani;Capybara. Panya mkubwa zaidi duniani.
View attachment 1716164View attachment 1716165View attachment 1716165
Hapana mshana, fisi anaweza kumla simbaIn most cases...hapana...sanasana atauwa na kuacha hagusi kabisa....