Mbona wanyama hawana daktari bingwa?

Mkungunero

JF-Expert Member
Aug 13, 2023
408
568
πŸ˜πŸ¦“πŸ…πŸ¦πŸŽπŸ¦˜πŸ¦’πŸ«πŸ‡πŸ¦¨πŸ¦œπŸ¦šπŸ¦ƒπŸ“πŸ¦©πŸˆβ€β¬›

Kati ya wanyama na wanadamu, nani wanaifurahia dunia?

πŸ‘‰ Mbona wanyama hawana hospitali?
Mbona wanyama hawana daktari bingwa?
Mbona wanyama hawana Icu?
Mbona wanyama hawana chumba cha upasuaji?

Wanaopigana kule ukraini na urusi ni nyani na tumbili?

Watoto na wazee wanaopigwa mabomu, na kuangukiwa na magorofa kule Palestine na israel ni watoto wa kenge na ngedere?

Wakristo wanaosali Sala zote, na ibada zote, matajiri wasiojua hata wapeleke wapi utajiri wao, wanakula na kumwaga jalalani, huku wakristo wenzao wanakufa kwa njaa, na wagonjwa wanakufa kwa kukosa matibabu, huku wao wakijitanua na magari Yao ya kifahari na kutoa michango mikubwa makanisani na kuonekana wakristo wazuri, wakati majirani zao wanakata roho hospitalini huku hawana msaada. Wanamwabudu mungu wa wapi?

πŸ‘‰ Hivi kweli unakwenda kanisani unakutana na injili kuwa nilikuwa mgonjwa hukunitazama, nilikuwa na njaa hukunilisha, nilikuwa uchi hukunivalisha, unatoka hapo unaingia kwenye gari yako, unawasha gari hiyooo unaingia getini na kusema Umetoka kanisani Tena unajisifu na sadaka nimetoa, na fungu la kumi nimetoa kubwa sana, huku jirani yako amelala chini miezi na miezi, kwa kuwa tu ni mnyonge hana chochote, unamuona kama panzi.
Huna haja ya kumtembelea.

Wewe tajiri wa ulimwengu huu, maskini wa Mbinguni na majivuno yako, ya kudharau wasio nacho Uliona lini ufunguo wa gari ukawekwa kwenye jeneza?

Uliona lini marehemu akiwekewa hati ya nyumba kwenye jeneza?

Uliona lini marehemu akiwekewa kitabu chake cha benki kwenye jeneza?

Umepanga kuifanyia Nini digrii yako, utakapoingia kwenye jeneza?

Unajua unavyo ulivyoazimwa ila hauna cha kwako?

Kama huamini umeazimwa, orodhesha vitu vyote watakavyokufungashia uondoke navyo.

Kwa Nini cha kuazimwa kikukoseshe mbingu?

Kwa Nini uwaone wenzako ni sifuri kwa vitu vya kuazimwa?

Mwanadamu mwanadamu, !! Umeifanya dunia kufikia hapa ilipofikia Leo?

Umewafanya wanyama wa mwituni kuishi kwa amani, kuliko wanadamu?

Maisha wanayopitia watoto, wazee, wamama, na watu wote kule Palestine na Israel, Ukraine na urusi, sudani na maeneo mengine ya vita msiba wa mtu mmoja unavyotia simanzi, waza mama au baba anayepoteza familia yake yote, au watoto wanaopoteza wazazi wao wote.

Yasikie tu kwa wengine.

Mbona bado tunabaki kuwa na roho ngumu?

Mbona hatuna muda na huyu Mungu?

Ombea ulimwengu, Ombea watawala, Ombea mateso ya vita, Ombea magonjwa makubwa ya kutisha Mungu atuepushie, Ombea roho ya ukatili na mauaji iondoke mioyoni mwa watu.

Omba Mungu atuepushie roho za ajali, na umwagaji wa damu.

Jioni Njema watu wa MUNGU
🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁
 
Mwenyezi Mungu akuepushe na tamaa ya kua myama mwitu
 
Wakristo wanaosali Sala zote, na ibada zote, matajiri wasiojua hata wapeleke wapi utajiri wao, wanakula na kumwaga jalalani, huku wakristo wenzao wanakufa kwa njaa, na wagonjwa wanakufa kwa kukosa matibabu, huku wao wakijitanua na magari Yao ya kifahari na kutoa michango mikubwa makanisani na kuonekana wakristo wazuri, wakati majirani zao wanakata roho hospitalini huku hawana msaada. Wanamwabudu mungu wa wapi?
Ki kanuni utajiri mtu anaupata kwa kutoa huduma au kuuza bidhaa kwa watu wengi zaidi.

So kama unamuita tajiri basi anakuwa ameshawasaidia hao 'wahitaji' yaani maskini unaowatetea.

Cha kufanya we wahimize zaidi hao masikini nao wafanye vivyo hivyo kwa bidii, juhudi na maarifa ili ifikie mahala nao wauishi huo utajiri.

Hata tajiri naye ana haki ya kisaidiwa na hao masikini pia alaa
 
πŸ¦¨πŸ¦©β€

Kati ya wanyama na wanadamu, nani wanaifurahia dunia?

Mbona wanyama hawana hospitali?
Mbona wanyama hawana daktari bingwa?
Mbona wanyama hawana Icu?
Mbona wanyama hawana chumba cha upasuaji?

Wanaopigana kule ukraini na urusi ni nyani na tumbili?

Watoto na wazee wanaopigwa mabomu, na kuangukiwa na magorofa kule Palestine na israel ni watoto wa kenge na ngedere?

Wakristo wanaosali Sala zote, na ibada zote, matajiri wasiojua hata wapeleke wapi utajiri wao, wanakula na kumwaga jalalani, huku wakristo wenzao wanakufa kwa njaa, na wagonjwa wanakufa kwa kukosa matibabu, huku wao wakijitanua na magari Yao ya kifahari na kutoa michango mikubwa makanisani na kuonekana wakristo wazuri, wakati majirani zao wanakata roho hospitalini huku hawana msaada. Wanamwabudu mungu wa wapi?

Hivi kweli unakwenda kanisani unakutana na injili kuwa nilikuwa mgonjwa hukunitazama, nilikuwa na njaa hukunilisha, nilikuwa uchi hukunivalisha, unatoka hapo unaingia kwenye gari yako, unawasha gari hiyooo unaingia getini na kusema Umetoka kanisani Tena unajisifu na sadaka nimetoa, na fungu la kumi nimetoa kubwa sana, huku jirani yako amelala chini miezi na miezi, kwa kuwa tu ni mnyonge hana chochote, unamuona kama panzi.
Huna haja ya kumtembelea.

Wewe tajiri wa ulimwengu huu, maskini wa Mbinguni na majivuno yako, ya kudharau wasio nacho Uliona lini ufunguo wa gari ukawekwa kwenye jeneza?
Uliona lini marehemu akiwekewa hati ya nyumba kwenye jeneza?
Uliona lini marehemu akiwekewa kitabu chake cha benki kwenye jeneza?

Umepanga kuifanyia Nini digrii yako, utakapoingia kwenye jeneza?

Unajua unavyo ulivyoazimwa ila hauna cha kwako?
Kama huamini umeazimwa, orodhesha vitu vyote watakavyokufungashia uondoke navyo.

Kwa Nini cha kuazimwa kikukoseshe mbingu?

Kwa Nini uwaone wenzako ni sifuri kwa vitu vya kuazimwa?

Mwanadamu mwanadamu, !! Umeifanya dunia kufikia hapa ilipofikia Leo?

Umewafanya wanyama wa mwituni kuishi kwa amani, kuliko wanadamu?

Maisha wanayopitia watoto, wazee, wamama, na watu wote kule Palestine na Israel, Ukraine na urusi, sudani na maeneo mengine ya vita msiba wa mtu mmoja unavyotia simanzi, waza mama au baba anayepoteza familia yake yote, au watoto wanaopoteza wazazi wao wote.
Yasikie tu kwa wengine.

Mbona bado tunabaki kuwa na roho ngumu?
Mbona hatuna muda na huyu Mungu?

Ombea ulimwengu, Ombea watawala, Ombea mateso ya vita, Ombea magonjwa makubwa ya kutisha Mungu atuepushie, Ombea roho ya ukatili na mauaji iondoke mioyoni mwa watu.

Omba Mungu atuepushie roho za ajali, na umwagaji wa damu.

Jioni Njema watu wa MUNGU
Mbona makasiriko mengi kwetu mkuu?
sisi matajiri tumekukosea nini?Najua bado hujasema
 
πŸ˜πŸ¦“πŸ…πŸ¦πŸŽπŸ¦˜πŸ¦’πŸ«πŸ‡πŸ¦¨πŸ¦œπŸ¦šπŸ¦ƒπŸ“πŸ¦©πŸˆβ€β¬›

Kati ya wanyama na wanadamu, nani wanaifurahia dunia?

πŸ‘‰ Mbona wanyama hawana hospitali?
Mbona wanyama hawana daktari bingwa?
Mbona wanyama hawana Icu?
Mbona wanyama hawana chumba cha upasuaji?

Wanaopigana kule ukraini na urusi ni nyani na tumbili?

Watoto na wazee wanaopigwa mabomu, na kuangukiwa na magorofa kule Palestine na israel ni watoto wa kenge na ngedere?

Wakristo wanaosali Sala zote, na ibada zote, matajiri wasiojua hata wapeleke wapi utajiri wao, wanakula na kumwaga jalalani, huku wakristo wenzao wanakufa kwa njaa, na wagonjwa wanakufa kwa kukosa matibabu, huku wao wakijitanua na magari Yao ya kifahari na kutoa michango mikubwa makanisani na kuonekana wakristo wazuri, wakati majirani zao wanakata roho hospitalini huku hawana msaada. Wanamwabudu mungu wa wapi?

πŸ‘‰ Hivi kweli unakwenda kanisani unakutana na injili kuwa nilikuwa mgonjwa hukunitazama, nilikuwa na njaa hukunilisha, nilikuwa uchi hukunivalisha, unatoka hapo unaingia kwenye gari yako, unawasha gari hiyooo unaingia getini na kusema Umetoka kanisani Tena unajisifu na sadaka nimetoa, na fungu la kumi nimetoa kubwa sana, huku jirani yako amelala chini miezi na miezi, kwa kuwa tu ni mnyonge hana chochote, unamuona kama panzi.
Huna haja ya kumtembelea.

Wewe tajiri wa ulimwengu huu, maskini wa Mbinguni na majivuno yako, ya kudharau wasio nacho Uliona lini ufunguo wa gari ukawekwa kwenye jeneza?
Uliona lini marehemu akiwekewa hati ya nyumba kwenye jeneza?
Uliona lini marehemu akiwekewa kitabu chake cha benki kwenye jeneza?

Umepanga kuifanyia Nini digrii yako, utakapoingia kwenye jeneza?

Unajua unavyo ulivyoazimwa ila hauna cha kwako?
Kama huamini umeazimwa, orodhesha vitu vyote watakavyokufungashia uondoke navyo.

Kwa Nini cha kuazimwa kikukoseshe mbingu?

Kwa Nini uwaone wenzako ni sifuri kwa vitu vya kuazimwa?

Mwanadamu mwanadamu, !! Umeifanya dunia kufikia hapa ilipofikia Leo?

Umewafanya wanyama wa mwituni kuishi kwa amani, kuliko wanadamu?

Maisha wanayopitia watoto, wazee, wamama, na watu wote kule Palestine na Israel, Ukraine na urusi, sudani na maeneo mengine ya vita msiba wa mtu mmoja unavyotia simanzi, waza mama au baba anayepoteza familia yake yote, au watoto wanaopoteza wazazi wao wote.
Yasikie tu kwa wengine.

Mbona bado tunabaki kuwa na roho ngumu?
Mbona hatuna muda na huyu Mungu?

Ombea ulimwengu, Ombea watawala, Ombea mateso ya vita, Ombea magonjwa makubwa ya kutisha Mungu atuepushie, Ombea roho ya ukatili na mauaji iondoke mioyoni mwa watu.

Omba Mungu atuepushie roho za ajali, na umwagaji wa damu.

Jioni Njema watu wa MUNGU
🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁
Kwa sababu mnyama hatendi ile dhambi mbaya.
Hakosei tundu.
 
Assume tumepanda basi kwenda mahala flani

Mimi na wewe tunanunua mahindi ya kuchoma na machenza

Hawa wenzetu wanasosomola makuku na makulaji.

Safari ni ya muda hatutakaa kwenya basi bali itafika muda tutashuka

Hatujui abiria yupi atashuka mapema na kituo chake ni kipi

Ila sote tutashuka tu kwenye hili basi

KAMA UNAWEZA KUSOSOMOLA SOSOMOLA SABABU KONDA WA BASI HILI HATA KAMA HAULI NDANI YA BASI MUDA WA KUSHUKA UKIFIKA ATAKUSHUSHA TU
 
Mungu huyo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu, mateso, magonjwa, maasi, vita na ukatili?

Mungu ambaye mnadai ni muweza wa vyote, mwema, mwenye upendo na huruma, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda mabaya?

Mungu huyo Hayupo na mbingu Haipo.
 
Back
Top Bottom