Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,368
Reaction score
871,932
Tupia chochote kuhusu wanyama
Kibaya
Kizuri
Cha kuelimisha
Cha kuchekesha
Cha kushangaza
Cha kuhuzunisha
Cha kufurahisha
Cha kusikitisha nk nk

Wanyama wamegawanyika katika makundi makuu mawili kulingana na muundo wao wa mwili: wenye uti wa mgongo na wasio na uti wa mgongo. Aidha, kulingana na maisha yao, huainishwa katika wanyama wa nyumbani (wafugwao) na wanyama wa porini.

IMG-20210223-WA0095.jpg
 
Huyu ni mmoja ya wanyama wenye akili sana duniani. Kwenye top four kuna sokwe mtu, mbwa, pomboo(dolphin) na huyu jamaa. Pia ni bosi mmoja msafi sana. Kama umewahi mfuga utakuta anajisaidia mbali na anapokula.
Shida yake kubwa akiumwa njaa anakula mpaka nnya yake yaani ni recycle bin[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom