Ni bora tumuingze fisad mmoja ktk taasis ya urais ktkat ya wasafi kuliko kupitsha mafisad milion ktkat ya msafi mmoja ambaye tayar ameshaanza kuwa under someone hata kabla ya kuingia.
Ni zamu ya Fisadi mmoja utak kale malimao
tatizo ni watu kutotaka kusia wasiyoyapenda.POLEPOLE YUKO SAHIHI
Mbona huko TYC hayupo tena ashajiuzulu. Alisema mwenyewe juzi chanel 10 akiwa na Msigwa mchungaji.
Acheni mihemko, Jana alizidi kujidhihirisha kuwa ana kazi moja tuu aliyotumwa nayo ni kumchafua Lowasa. Mtatiro Jana amesaidia sana kumsababisha Polepole akae uchi na kueleweka has a malengo take ni nini?
Hapo ndio linakuja swali, jee kazi hii ya ghafla ya kupambana na Lowasa mwanzo mwisho anaifanya bure au kwa malipo? Haiwezi kuwa Bure, sasa nani anamlipa? Tuendelee kufuatilia tutamjua tuu.
Leo channel 10 Ni zamu ya Mtatiro na Polepole. Don't miss saa 4 kamili usiku.
Acheni mihemko, Jana alizidi kujidhihirisha kuwa ana kazi moja tuu aliyotumwa nayo ni kumchafua Lowasa. Mtatiro Jana amesaidia sana kumsababisha Polepole akae uchi na kueleweka has a malengo take ni nini?
Hapo ndio linakuja swali, jee kazi hii ya ghafla ya kupambana na Lowasa mwanzo mwisho anaifanya bure au kwa malipo? Haiwezi kuwa Bure, sasa nani anamlipa? Tuendelee kufuatilia tutamjua tuu.
tatizo ni watu kutotaka kusia wasiyoyapenda.POLEPOLE YUKO SAHIHI
Mkuu, soma mada vizuri kabla hujaanza kujibu. Hakuna mahali popote mleta uzi alipoongelea elimu ya pole pole zaidi ya uelewa mpana "general knowledge".
Kwenye bunge la katiba ccm kwa umoja wao waliikataa katiba ya warioba ambayo wewe ni mdau mkuu.
Baada ya ukawa kuigomea ccm wakaipitisha kwa kura za marehemu na mahujaji.
Leo umeamua kumpinga lowasa pekee je ccm kumteua makamu mwenyekiti samia wamekukosha?
Hotuba ya mwenyekiti wa CCM iliyobadili upepo bungeni inastahili sifa unazotoa?
Ccm kuwapitisha chenge, tibaijuka na team ccm bunge la katiba kwako si hoja?
Naomba msaada wako hapa.
Sidhani kama polepole angekuwa anapata kazi ya kuelimisha watu kipindi hiki endapo Dk Slaa angekuwa mgombea wa ukawa !! Ki msingi ukawa utapata upinzani sana kumchukua huyu mwizi yaani kaaribu kila kitu hasa imani yangu imetoweka kwa chama changu kisa yeye !! Dk Angekuwa yupo pale juu nisingetarajia polepole kusema lolote baya kwa ukawa ila kwa bahati mbaya Julius alijua kama anamashabiki na ndio maana alimaliza kwa mbwbwe na kuvuta koti kwa mbwembwe vile.