PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Huu si wakati wa kudanganywa na tuhuma zisizo na ushahidi, bali chuki binafsi kwa mtu,tatizo ni watu kutotaka kusia wasiyoyapenda.POLEPOLE YUKO SAHIHI
Huu si wakati wa kudanganywa na tuhuma zisizo na ushahidi, bali chuki binafsi kwa mtu,tatizo ni watu kutotaka kusia wasiyoyapenda.POLEPOLE YUKO SAHIHI
Jamaa ANALAZIMISHA KUCHUKIWA!.
Yericko Nyerere katika ubora wake huko Twitter
Umesema kweli. Polepole alinishangaza aliposema makosa ya Magufuli anayetakiwa kuwajibika ni waziri mkuu kwa sababu Magufuli anatumwa tu. Lakini hakusema kwa Lowassa nani alipaswa kuwajibika, hilo alikaa kimya! The guy was biased!
Wasiomjua huyu HP huwa wanafikiri ni mtu genius saaana na muadilifu saaaana lakini wanaomjua wanasema ana makashfa ya kula pesa na infact ashawahi pata hata grant ya kujiongezea elimu na still aliitafuna na shule hakwenda! Halafu form 6 si alipataga 0 huyu!
Tatizo la jamaa ni opportunist sana otherwise angeweza kuwa mweledi sana kwenye mambo ya social development, social change.Huyu ni watu wa calibre ya akina Nape, Makonda yuko tayari kujitoa ufahamu as long as puesa inaingia kwake!
huyu dogo si alikua mtu wenu mkimmwagia sifa kemkem. sasa mmekula matapishi yenu amewageuka..hivi kweli nyie ukawa mnataka mabadiliko, mageuzi, au mmenunuliwa?Huyu Dogo sikujua kama anaweza kuwa mnafiki kiasi hicho
jana ndio nimejua unafiki wa bwana pole pole,
hapo mwanzo wakati akijipambanua mpigania rasimu ya warioba,watu walimwelewa kama mpambanaji wa ukweli, kumbe alikua mnafiki mkubwa!
Jana katika kipindi cha mada moto pale chanel ten ndio nikamgundua huyu bwana ni wakuogopa kama ukoma,
anataka kutuaminisha kwamba kwa sasa chama cha mapinduzi ni kizuri sana tena hakuna mfano wake na magufuli na samia suluhu ni watu wakuchaguliwa?
Maali nilipo mdharau ni pale aliposema mgombea wa ukawa asichaguliwe kwa sababu alikataa katiba ya warioba.
Huku hakisahau magufuli tena alichangia kuisigina rasimu ya warioba?
Mbaya zaidi mgombea mwenza samia suluhu hasani, ndiye alikua makamu mwenyekiti wa bunge la katiba na kwa kiasi kikubwa yeye kwa maelekezo ya chama alitumika kuminya na kuchana chana maoni ya wananchi!
Sasa pole pole anakuja kutuaminisha nini? Ndani yake amekua na chuki ya wazi wazi kwa lowassa!
Nampongeza sana ndugu julius mtatiro uameongea vitu vya msingi sana,
ushauri wangu kwa pole pole, unajidhalilisha sana mgodo wangu wacha kutumika simamia ukweli hakuna msafi ndani ya ccm kama unavyotaka kuwa aminisha watanzania, wewe siyo MUNGU hata ugeuke kumwukumu lowassa, bila ushahidi wowote,
kama unao ushahidi wa tuhuma unazo zisema peleka mahakamani ili mahakama iamue lowassa ni mkosaji hau la. Tusilete vituhuma vya kisiasa kuchafuana kisiasa,
wadau naomba kuwasilisha:
Pole pole ni opportunist..
yaani wewe ujielewi kabisa, kabla ya lowassa kuingia ukawa ulikuwa unamwita lowassa fisadi papa, sasa hivi unamsifia(haujielewi wewe ni bendera fuata upepo), pili ulikuwa unamsifia sana polepole wakati akitetea rasimu ya katiba ya tume(leo hii unamkana japokuwa yeye bado ajabadilisha msimo wake(unafuata upepo unakovuma)
mwache polepole afanye anachofanya kwani kila mtu yuko huru, polepole go ahead usiyumbe na upepo km hwa wanaokulaumu