Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

Mtatiro Kajitahd Kumatch Na Polepole Lakin Stl Bado Sana Kumzidi Huyu Kijana Wa Ccm...Tuache Unafiki Na Uvyama Pembeni Ukwel Tumeuona Mtatiro Kazidiwa Lakin Si Kama Msigwa....!!!
 
overall performance Julius kasimama katika hoja na kumutupilia mbali polepole. Kijana kachanganya mambo mengi na anahisi yeye pekee ndio hufanya research. Individuals attacks bila ya evidence sio sahihi na pia kutoa siri za tume ya katiba amazo sisi kama raia hatuwezi kuverify unakuwa hautusaidii. nafikiri mimi nina ushahidi na clip pia kwamba rais was the first guy to throw out proposed constitution and all other ccm members opted to follow.
 
Mtatiro hana uwezo wa ku-argue na Pole Pole labda wasiwe na mıtazamo inayotofautiana vıngnevyo Mtatiro ataonekana hajamaliza hata form 4.Saiz ya Pole Pole labda Jusa au Zito, wengne wanaweza rusha hata ngumi.

Nakubaliana na ww kwa akili za pole pole jussa anamuweza sana
 
pole pole ni mtu aliyeishiwa hoja,
polepole ni mtu asiye jitambua
polepole amekula mlungula gani,
polepole anatia mashaka katika mambo yake.
Tunashukuru magufuli pamoja na samia waliisigina ktb ambayo wewe mjumbe uliipigania lakini leo unawaunga mkono wasaliti wako,yule aliyeisigina lakini amegeuka bado ni adui yako. Hututendei haki sisi/mimi watanzania tuliyekulipa kwa kodi zetu.
Labda utupatie msimamo wako juu ya katiba ni upo?
 
Yan watu hawaelewi, hata useme nini kwa watz kuhusu Lowasa hawaelewi tena! bora wakauze mahindi kuliko kurudia wimbo ule ule kila cku wa fisadi. Fisadi ndo mdudu gani? tunataka mabadiliko na anayeweza kuyaleta ni Lowasa. Kwa hiyo hata angekua fisadi kufuru wa kufuru bado tunamtaka!! muelewe hivyo


hivi ni polepole aliyekuwa anaitetea katiba ya warioba kutopitishwa na maccm leo anawatetea hivyo kweli hii nchi tuna lipumba kibaoooo
 
Polepole amekimbizwa vbaya mtatilo amejibu vzur alkuwa makini sana Polepole hoi
 
nimependa conclusion ya Mtatiro kwa kumquote Obama "we should build strong institutions n not strong people"
sasa Polepole oooh Magufuriiii magufuriiiiii wakati anaogelea kwenye mto wa mamba
 
Leo kwa hakika nimeamini kwa dhati kabisa kuwa ndugu Polepole yuko kwenye mkakati wa kueneza propaganda chafu dhidi ya UKAWA

Huyu ni mtu hatari mno kwa mustakabari mwema wa taifa letu.
Hafai kupewa tena platform hata kidogo.

Yuko biased mno.

Muda wote tena wazi wazi ameonesha ukereketwa wake kwa CCM.
Sio mchambuzi neutral.
 
Pole pole hovyo kweli..hana hoja...

Kila akinena anamtetea Magufuli, na kukashifu Lowassa...

Julius Mtatiro, kamwaibisha sana Polepole, kuwa, Magufuli ni mtu mdogo sana CCM, na Magufuli ana tuhuma nyingi sana tu za kuuza nyumba za serikali, kuwa na mahoteli eg Kebby's hotel Mwenge, pia CAG mara kadhaa katoa data za kimahesabu Wizara anayoongoza Magufuli billions zimepotea..na hazijulikani ziko wapi...

Mpolepole akataka kudanganya eti leo wakati anakaribia kwenda Channel 10 mtu mkubwa wa Cuf kampigia simu eti anapinga ujio wa Lowassa Ukawa....Mtatiro akamwambia aache kuhadaa watu, kwa kumtetea Magufuli, na pia Polepole anajua wazi CCM ndio imechakachua katiba mpya, bado Polepole anaitetea mfumo huo huo...
Pole pole ni mhuni, hana hoja..ana chuki binafsi na Lowassa....!!!

Polepole....kichwa cha ufisadi...dwarfed body and mind...!!!
 
Humphrey ni mnafiki kwa sababu alikuwa anatetea katiba ya warioba lakini leo anatetea walioipinga.kwa uwezo wake mfupi anadhani magufuli ataipigania,hapana anajua ataitekeleza.

Kumbe polepole anaipinfa ile katiba ya warioba.mnafiki.
 
Polepole leo kweli umekua mpole.. Ndug yngu mtatiro nmemuelewa sana,

Tatizo la polepole ana-m single out lowassa na kumtuhumu fisadi, na kwakua alizuia mchakato w katiba mpya..

Mtatiro anajibu, alieanza kupindisha katiba mpya ni Jk na ccm wengne kufuata mfumo w chama chao, wakamuunga m/kti wao mkono.. Kwahyo wakulaumiwa kwenye katiba ni Jk na sio EL..

Pia HP anasema magufuli is a presidential materia na anafaa kutuletea maisha bora..

Mtatiro anasema, taratibu na mfumo atakaoukuta magufuli endapo atapewa ridhaa ni ule ule wa ccm, tusitegemee atakua na mfumo mwingne, so the best thing ni kuubadilisha mfumo uliopo ambao ndio BLUEPRINT ya Ccm..Ondoa mfumo uliopo, tuweke mfumo mwingne ambao watu wake watakuja na mawazo tofauti, different ways of thinking and handling issues..

Ujue kama PC yako ikisumbua(Virus let's say), Una scan na kufanya window repair as appropriate, ila kama tatizo lina persist, toa hiyo window (Window 7) na install nyingne (Ubuntu)

Leo nimebadilisha fikra zangu juu ya J. Mtatiro, very smart Bro
 
Mtatiro kamaliza vizuri sana.....Pole Pole meishia kucheka tu
Mwenyewe kaonyesha taaharuki km vile kapigwa bao kirahisi sana.Huwa mimi huangalia sana kinachofuatia wakati camera inaondoka.Wengine walikuwa akicheka na mtatiro alimpa mkono huku akicheka yeyey alikuw akaicheka km bado anatafakari issue imekuwaje nene.Pengine next time ccm watatafuta mwendesha kipindi kimeo ili ambembe.
 
Fisadi mwenyewe mmemtengeneza ccm kama mlikerwa na ufisadi wake mbona hamkumchulia hatua na kawaambia mwenye kumtuhumu aende mahakamani .polepole ametumwa na ccm kuzuia mafuriko kwa mkono akawaambie huku atudanganyiki lowasaaaaaa mbelekwambele ccm shauri yenu mmebaki mnawaza goli la mkono. bakini mkisoma namba huko nyuma
 
Mtatiro haelewi kitu.mbumbu wa kutupwa.Eti mtu mzaifu akihamia ktk mfumo imara ataimarika.Hiki ni kioja.Sasa mbona anahamia mtu na Mwenyekiti anaondoshwa na katibu Mkuu anarestishwa

Wewe ndio Mbumbu, mfumo imara ndio unaobadili mambo. Mfano China wana chama kimoja cha siasa but very strong. Ndio maana China ufisadi hakuna ingawa hawana vyama vingi
 
mtatiro ni jembe kaongea point sana .waliobadilisha dunia ni mfumo (a.k.a timu) na sio mtu m1. big up mtatilo
 
Back
Top Bottom