Kuna jamaa sio mtumiaji sana wa Jf kwa sasa leo kupitia simu yangu kaona huu uzi akashangaa Akaniuliza "mshana anaanzisha vipi uzi kama huu wakati alikuwa mhubiri mzuri wa watu kuacha Pombe,,kakumbwa na nini hadi kaamua kuwa mtumiaji wa pombe"Tiptop manzese moja hiyo ndani ya jiji la wagagagigikoko
ni kweli kabisa lakini huu uzi si uzi wa kuhamasisha ulevi bali ni simulizi za vituko na mikasa baada ya kulewaKuna jamaa sio mtumiaji sana wa Jf kwa sasa leo kupitia simu yangu kaona huu uzi akashangaa Akaniuliza "mshana anaanzisha vipi uzi kama huu wakati alikuwa mhubiri mzuri wa watu kuacha Pombe,,kakumbwa na nini hadi kaamua kuwa mtumiaji wa pombe"
Sikuwa na majibu,,vipi ni ya kweli haya ndugu mjumbe?
Nilikuwa MV pub pale ubungo Maziwa leoPalm View 1 hapa kigogo Mwisho Darajani nalipa kodi, Nikitoka Hapa Narudi kiwanja cha Ibungu Mabibo Mwisho View attachment 1152662
Tumepishana kidogo hapoPalm View 1 hapa kigogo Mwisho Darajani nalipa kodi, Nikitoka Hapa Narudi kiwanja cha Ibungu Mabibo Mwisho View attachment 1152662
Shusha jibapa na usisahau serengetiii baridii
Karibuni waungwana!!!View attachment 1154207
😆😆Nyama nyekundu sio nzuri kwa afyaView attachment 1155003