Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

50914DBF-5EDB-4818-B159-A19556D909AB.jpg


Nimekamaliza naona bado nadai kabisa.
Nataka nianze na haya majani. Mwenye uzoefu nayo wakuu. Nina experience nayo kidogo sana
 
Me napiga dry mkuu but pemebeni nakuwa na energy drink au maji after fundo kadhaa sa vant Ndio napoozea
Si mbayA... kuwa na kamshikaki ka kung'atia kidogo..

Mi naona inashuka vizuurii na Tonic.
 
Almost kavu Ila na energy drink kidogo after few times ku dilute ladha.
Sema nimekamaliza fasta af sioni kitu.
Si uliweka ma Energy..

Nenda aste aste..

Stay longer... Ndo kwanza week END yaanza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom