Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mzigua90 umelewa kalale sasa [emoji23][emoji23][emoji23]🄃 nnakuja huko barabarani pia
Huyu mbn anataka kutuaaaa kreti hzi zko pembeni leo ni kufa na kupona
Nyumbani nshaagaaaa sjui kama kuna kurudi mkiona nko offline ujueee ziiii

Ova
20190221_173352.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaaaa.. mimi sijui itanifanya nini maana hapa Niko vizuri tayari halafu haya mazingira niliyopo yananishawishi kunywa zaidi
Jagger sooo nlikunywaga chupa ile size ya kati nlamalizaaa yte kutembeaa ilibidi ntambae na ukuta

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzigua90 umelewa kalale sasa [emoji23][emoji23][emoji23]🄃 nnakuja huko barabarani pia
Wallah saa ile napost ndo kwanzaaaaa nilikua naanza anza. Huyu memjibu ananiitaje mie mfupi wakati sio
 
Hahahhaaaa.. mimi sijui itanifanya nini maana hapa Niko vizuri tayari halafu haya mazingira niliyopo yananishawishi kunywa zaidi

Wallah saa ile napost ndo kwanzaaaaa nilikua naanza anza. Huyu memjibu ananiitaje mie mfupi wakati sio
Inywe kesho nipe mrejesho
Mm nilikataa chupa nzima ila dah kidogo ntambaeee Sema ubishi tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom