No Arusha boss wamenitupa huku nipambane kidogo.External?
Jr[emoji769]
Mdg mdg hapaHizi soda tunazochanganyia nyagi zinatuumiza sana, hiyo mixer na mbege jana leo nimeamka mzima hasa
Jr[emoji769]
Zambia ile shake shake nlikuwa na mix na pombe kali aise ni balaaaaHahahaha, mbege mixer konyagi si mchezo hii kitu poa sana
Kwa Mama kamche ,Mwenge pale?
MTC | 101| [emoji769]
Tuombeeee mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]Nje ya mada naelekea Church mida hii, ikifika Mchana ndani ya Kariakoo kwa baharia wangu Abuu kumpa hi5,kinachofuata nikuexperience nini maana ya Mikasi by Albert Mangwea.
Pande gani mkuu hyooo usharudi darWadau mpo imara?. Mi nipo poa nakandamiza mkoa taratibu.View attachment 1024714
Tunatofautiana vichwa mkuu, wengine hua tunatumia kwa kiasiHahahaha ulikafakamia nini kwa pupa,mbona k vant sio Kali kama nyagi
mpuuzi mpuuzi tu
Kwaiyo mkuu wewe ni beer tuTunatofautiana vichwa mkuu, wengine hua tunatumia kwa kiasi
Pole mkuu...pombe inaweza kukuabisha aiseeMi nilikata nzima Peke angu ile kubwa, afu apo nilikuwa nimepiga visafari kama vinne ivi kublash mdomo, Mzee siwezi sahau iyo Siku bila Msaada wa demu, Vant ilikuwa inilazae mtaroni
Hapana mkuu natumia wine tu...nikinywa bia nakua nmezidiwa mfano simba kula nyasi badala ya nyamaKwaiyo mkuu wewe ni beer tu
mpuuzi mpuuzi tu
Dah kweli hivi vitu vigumu huviwezi vitakuumiza kichwa mkuuHapana mkuu natumia wine tu...nikinywa bia nakua nmezidiwa mfano simba kula nyasi badala ya nyama
Nasalimu na kupitaHome sweet home
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Nasalimu na kupita
mpuuzi mpuuzi tu
Nakaribia location plzSawa karibu tulipe kodi
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Hahahaha mbona vipo vingi ila bia sio tamuHivi Kuna kitu kitamu kama Bia kweli [emoji23]
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Home sweet home
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Mbona mijicho umeitoa kulikoni [emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji173]
Jr[emoji769]