Nitaanza na mimi sasaSafi sana hiyo mwenyekiti:mm mbege ni dozi yangu kila jumapili hapa nshaweka oda mchana ndio naanza nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mwenyekiti halafu hainaga hangover yani unaamka safi kabisa .Nitaanza na mimi sasa
Jr[emoji769]
Kweli mkuu, ntasogea pale kwa mama kamche leo nipate mbege mixer konyagi mim ndio maana nnatumia maji
Mkuu mbona Kama unakunywa chokolateshake sijui milkshake ya watoto.
Mi nilikata nzima Peke angu ile kubwa, afu apo nilikuwa nimepiga visafari kama vinne ivi kublash mdomo, Mzee siwezi sahau iyo Siku bila Msaada wa demu, Vant ilikuwa inilazae mtaroniNilipiga nusu ya K-vant ile ndogo ilinipelekesha balaa
Mkuu hiyo Ntay inapatikana wapi Dar,nina rafiki yangu mcongoman nataka nimpelekee boto mbilitatu Ka zawadi.
Hahahaha ulikafakamia nini kwa pupa,mbona k vant sio Kali kama nyagiNilipiga nusu ya K-vant ile ndogo ilinipelekesha balaa
Mkuu mwenyekiti k vant inaua nini tena maana minaitumia nikiona sitaki kupiga Kali nyagi na like hua napiga vant maana ile imepoaK-vant si nzuri inauwa
Jr[emoji769]
Inasaidia biashara ya viagra ishamiri[emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu mwenyekiti k vant inaua nini tena maana minaitumia nikiona sitaki kupiga Kali nyagi na like hua napiga vant maana ile imepoa
mpuuzi mpuuzi tu
Ooooh basi per week moja sio mbayaInasaidia biashara ya viagra ishamiri[emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Shida ya maji ni kukosa ladha... Nisalimie yule mhudumu... Yule yule[emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Toa location fastaWadau mpo imara?. Mi nipo poa nakandamiza mkoa taratibu.View attachment 1024714
Nipo top London hapa.Toa location fasta
Jr[emoji769]