Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_4922.JPG
Today’s afternoon [emoji485]
 
Mimi furaha yangu ni man u kusogea kwenye namba 4, hapo tunamsubiria totenham ajitekenye au atekenywe kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki tena matokeo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kipindi cha kwanza dk ya 41 sasa mtu kashalambwa 4 bila

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nendeni kwenye mada ya kubet, hapa ni monde tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom