Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Deile kesi.Hahahhahaha bia tamu sana aiseee
Watu wa hivi akichange anachange kweli ila hata bible inasema chagua uwe moto au baridi hamna vuguvugu kama umeamua kuamsha amsha kweli kweliTrust me, watu kama mrangi huwa wanachange, ukiambiwa walikua wanaaamsha 24 hours huwezi amini. Nina wafaham wengi sana dizaini zake. Yupo mmoja nilishangaa kukuta kwake, ametoa kikabati cha pombe na kuweka sanam la Yesu... [emoji23]
Proverb 3:5-6
Mpe biaDAH KUNA MTU HAPA LEO KAFUZUU KUFUNGUA BIA KWA KUTUMIA CHUPA KAWEZA BASI MENO YOTE NJE....
ALIKUWA ANAIPENDAGA SANA STAILI YANGU HIYO...[emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhTrust me, watu kama mrangi huwa wanachange, ukiambiwa walikua wanaaamsha 24 hours huwezi amini. Nina wafaham wengi sana dizaini zake. Yupo mmoja nilishangaa kukuta kwake, ametoa kikabati cha pombe na kuweka sanam la Yesu... [emoji23]
Proverb 3:5-6
[emoji23][emoji23] sasa akiweza tumia funguo si atafanya na sherehe?DAH KUNA MTU HAPA LEO KAFUZUU KUFUNGUA BIA KWA KUTUMIA CHUPA KAWEZA BASI MENO YOTE NJE....
ALIKUWA ANAIPENDAGA SANA STAILI YANGU HIYO...[emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha na ndio reason mie nlikatazwa kuja hapo kisa madem sasa wife angejua sehem elekezi alizotoa niwe nanywea kote kuna balaaDeile kesi.
Uzuri wife anajua huyu jamaa akianza kulewa tu bia ndiyo inakuwa substitute ya michepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado uko pande hizoHahahahahahaha na ndio reason mie nlikatazwa kuja hapo kisa madem sasa wife angejua sehem elekezi alizotoa niwe nanywea kote kuna balaa
Inabidi siku ufanye nae tour......Hahahahahahaha na ndio reason mie nlikatazwa kuja hapo kisa madem sasa wife angejua sehem elekezi alizotoa niwe nanywea kote kuna balaa
Bia radha inakuja kadri inavyopita kwenye kooHahahhahaha bia tamu sana aiseee
Ndio kinachokusaidia coz ungekua mtu wa bwax alafu korofi kila siku ungekua unarudi home na ngeu au umempiga mtu au lock up zote zingekutambua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washafanya maombi mpk wamechokaa
Sahv wame muteee
Pombe tu hapa....ila mm Nna bonge la busara
Full Amani
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nipo huku pamechangamka kidizain kuna sehem panaitwa high classic unapapata?
Ni kweli kuna mdingi mmoja mtaani yy ilikua asubuh saa 3 anakuja kulala tayari ameshalewa ila saivi ni mlokole safiTrust me, watu kama mrangi huwa wanachange, ukiambiwa walikua wanaaamsha 24 hours huwezi amini. Nina wafaham wengi sana dizaini zake. Yupo mmoja nilishangaa kukuta kwake, ametoa kikabati cha pombe na kuweka sanam la Yesu... [emoji23]
Proverb 3:5-6
Huwazimi,hata nivesheee mzigo mzito ukiniona ngumuu kujua nimelewaNdio kinachokusaidia coz ungekua mtu wa bwax alafu korofi kila siku ungekua unarudi home na ngeu au umempiga mtu au lock up zote zingekutambua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wake wana busara sana.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Washafanya maombi mpk wamechokaa
Sahv wame muteee
Pombe tu hapa....ila mm Nna bonge la busara
Full Amani
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitoa sehem elekezi niwe nakunywa high classic motown na airport pub
Watu tunaokunywa kiana ndiyo huwa hatuachi..... Utashangaa siku moja anatushauri tuache tungi[emoji23]Ni kweli kuna mdingi mmoja mtaani yy ilikua asubuh saa 3 anakuja kulala tayari ameshalewa ila saivi ni mlokole safi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko sehem ganBado nipo huku pamechangamka kidizain kuna sehem panaitwa high classic unapapata?
KabisaWatu tunaokunywa kiana ndiyo huwa hatuachi..... Utashangaa siku moja anatushauri tuache tungi[emoji23]
Proverb 3:5-6
Syo wote