Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23][emoji23]
Muda tu nko kwa mangi nyagi znashka

Ova
20181122_184634.jpg
 
Ohhh tunapokesha lazima tujikinge na mbuuu hii dawa ya kijapan balaaa mjapan mmja mlipa kodi mwenzetu ananipagaaa alafu hii dawa wametengeneza kwa kutumiaa mchaichai

Ova
 
Ohhh tunapokesha lazima tujikinge na mbuuu hii dawa ya kijapan balaaa mjapan mmja mlipa kodi mwenzetu ananipagaaa alafu hii dawa wametengeneza kwa kutumiaa mchaichai

Ova
Safi kujali afya katibu hakikisha wadau wanaipata
 
Nitaipataje maana hawa mbu wananinyima kupata raha kwenye garden [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh ntakufanyia mchakato
Ila a nmemtumia zaidi ya mwaka hii na I nafanya sana kazi unajibandika tu kwenye nguo mwendo mdundooo unakeshaaa vzri tu

Ova
 
Mfano Ukienda kunywa mitaa ya leaders au kwa octah pale panakuwaga na mmbu balaa
Wananywaji Wana pepeana tu unawakuta

Ova
Hata raha ya bia inakwesha kila mara mikono inakuwa busy badala ya mikono kuwa busy kupeleka glass kinywani [emoji16][emoji16][emoji16]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom