Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa waliopo Tabora; karibuni the bliss
IMG_20240211_200522.jpg


Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
 
After few hours ilikufanyaje? Haha au ulikuwa hujashiba?
Ah niliifakamia nikiwa nimekaa ile kusimama kwenda toilet nikaona miguu kama inakataa kuagizwa 😂

Ohoo kichwa kikasapoti mada husika

Ilikua niondoke saa 9 nikakaa kwanza kama masaa 3 mbele na maji juu ndo nikaondoka maana ningeleta maafa huko njiani😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom