Kwanini unaruhusu pombe ikuumize hivyo?Dah leo nimetandikwa na Hangover hatari since asubuhi,sasa hivi ndio naanza kukaa sawa.Hadi nikajua nakata moto[emoji23][emoji23][emoji23].
Ngoja nijipe likizo kwanza[emoji1373][emoji1373]
kunywa kwaajili ya stimu sio kulewa hangover haitakusumbua tenaDah leo nimetandikwa na Hangover hatari since asubuhi,sasa hivi ndio naanza kukaa sawa.Hadi nikajua nakata moto[emoji23][emoji23][emoji23].
Ngoja nijipe likizo kwanza[emoji1373][emoji1373]
Bado mwanafunzi[emoji23] mimi hizo ni mswaki wa nyagiMi nikinywa kili light 3 naanza kulewa mbona
Kweli mimi wa kunywa big afu nisilewe??[emoji3][emoji3][emoji3]Tuwafichue wanaitengeneza konyagi feki.
Kweli mimi wa kunywa big afu nisilewe?? Nilikuwa nazisikia hizi pombe mara ohh sijui nini, hovyo kbs.
Kama sio feki basi batch 6……570088 mlisahau kufanya uchashushaji mzuri.
Basi we hata ukinywa maji unaweza kulewa...mi kili lite kuna siku nimeshinda nakunywa toka asubuhiMi nikinywa kili light 3 naanza kulewa mbona