Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,031
- 4,441
Ipo nyuma ya afro oil .. hapafananii kabisa ndo maana naona wanakunywa kistaarabuWewe hapo
Sipajui
Najua pilaz na afro oil tu
Ipo nyuma ya afro oil .. hapafananii kabisa ndo maana naona wanakunywa kistaarabuWewe hapo
Sipajui
Najua pilaz na afro oil tu
HaaaIpo nyuma ya afro oil .. hapafananii kabisa ndo maana naona wanakunywa kistaarabu
Nzuri mtadumu..Ila varangati lake nalimudu halafu kesho tunakuwa peace
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kuna vitu siyo vya kutia mdomoni haiwezekani unakunywa kitu unafumba machoUnakunywa unaanza kusikia vitu vinakimbizana miguuni, ukinyanyua mguu haunyayuki
Mie mwenyewe niliinywa kwa fujo sana ile pombe
😂😂😂😂 anafosi nimpumzikie? Haya
Sasa kunifananisha na seleman si bora mnipeleke brigade nikanyogwe sasaHaaa
Ile njia ya Mega clinic
🤣😂😂
Mwee
Haya Selemani
Nampenda sana ni bora mtu adanje kuliko kumkosa huyu bibie si unajua watoto wa chuga wanajua kupendaNzuri mtadumu..
Hivi zilipoteleaga wapi nakumbuka mabaraza walikuwa wananiagizaga dukani.Mie mwenyewe niliinywa kwa fujo sana ile pombe
Vilikua vinaniokoa sana kipindi cha presentation. na swahiba wake kiroba. Vipumzike kwa amaniMie mwenyewe niliinywa kwa fujo sana ile pombe
Ntalalaje na wewe bado upo macho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anafosi nimpumzikie? Haya
Mbona hulali? Shida nni?
Viroba vilipigwa marufuku na kasimu, sijui vilimkosea nini, ipo ya chupa....ila imepoteza umaarufu sijui kama bado inanyweka kama enzi hizoHivi zilipoteleaga wapi nakumbuka mabaraza walikuwa wananiagizaga dukani.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Silali hadi aje Certified Hater sele
Unanyonya viwili chap 🤣🤣🤣Vilikua vinaniokoa sana kipindi cha presentation. na swahiba wake kiroba. Vipumzike kwa amani
[emoji3][emoji3][emoji3]Silali hadi aje Certified Hater sele
Mnalalaje sasa na hii full moon nyie vipi, ongezeni vinywaji acheni ujinga 😁Silali hadi aje Certified Hater sele
Unataka kunyongwa mkono mkuu jasiri.??Silali hadi aje Certified Hater sele
Viroba vilikuwa vinachafua mazingiraViroba vilipigwa marufuku na kasimu, sijui vilimkosea nini, ipo ya chupa....ila imepoteza umaarufu sijui kama bado inanyweka kama enzi hizo
Sentensi itoke kwa ukali sana halafu unamsindikiza na likofi la mdomo.Mnalalaje sasa na hii full moon nyie vipi, ongezeni vinywaji acheni ujinga 😁