BALOTEL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 667
- 894
Habarini wanywaji wenzangu.
Niende moja kwa moja kwenye mkasa husika.
Jana nilipita maeneo ya tabata karibu na kisukuru kuna kisa nikakutana nacho usiku wa Saa nane hivi, kuna dada amepanga nyumba moja maeneo hayo na hapo kweye nyumba wanaishi pia vijana flani hivi ambao nao ni wapangaji ila wana kama miezi mitatu hivi tangu wahamie hapo.
Sasa huyu dada ni mzazi ana watoto wawili mmoja ni binti kama miaka 16 hv na huyu mdogo ndio ana mwaka.
Huyu bibie siku ya jana alitolewa out na mzazi mwenzie wakaenda kupata moja mbili mahali, inavyoonekana huyu mzazi mwenzie ana familia nyingine hivyo alimtoa tu mzazi mwenzie na alimrudisha mida ya saa nne hivi usiku na yeye akarudi kwenye familia yake,
Sasa baada ya huyu dada kuwa amerudi nyumbani akawakuta wale vijana wamekaa nje hapo kwao wanapiga Kvant wakamkaribisha sister karibu tupige kidogo kvant hapa , kwakua tayari alikua ana ukaribu nao hakusita akasogea akapiga funda kadhaa, kwa mujibu wa mwanae alimchukua mdogo wake wakaenda chumbani kulala na kumwacha mama yao hapo nje na hao vijana.
Sasa kilichotokea ni kwamba wale vijana walimwekea au alilewa mwenyewe wao wakatumia fursa hiyo kumwingiza chumbani kwao na kuanza kumwingilia kwa pamoja mbele na nyuma huku wakimrekodi video.
Katika harakati za kumwingilia alikua akipiga kelele kuomba msaada wao walichofanya ni kuongeza sauti ya redio na huku mmoja wao akienda kulinda mlango wa chumba cha yule dada ili mwanae asiweze kutoka ndani.
Bahati nzuri yule mtoto alisikia kelele za mama yake akiomba msaada ila alipotoka akakutana na jamaa amesimama mlangoni akimtisha kumuua kama angetoka.
Dogo alifanikiwa kutoka speed na kukimbilia barabarani kuita watu.
Ajabu vijana hawa washenzi walichofanya ni kumrudisha yule dada chumbani kwake akiwa uchi huku kazimia na kumfunika na kanga lakini akiwa tayari kaharibika vibaya mno sehemu za haja kubwa utumbo mpana ( Puru) ikiwa imetoka nje tayari hivyo kuwa hatamaniki.
Vijana hawa walienda kuoga haraka na kurudi chumbani kwao wakijifanya kuangalia move na kutojua chochote kilichokua kimejiri eneo lile.
Walinzi shirikishi walioitwa na binti yule walifanikiwa kuwadhibiti na wapo polisi kwa taratibu nyingine za kisheria.
Dada amepata fahamu yupo hospital kwa sasa.
Kwanini nimeleta kisa hiki hapa, swala ni moja tu, WANYWAJI TUWE MAKINI SANA PALE TUNAPOKUA TUMETUMIA KINYWAJI.
HUENDA DADA SIO MZOEFU WA VYOMBO ILA PIA YAWEZEKANA WALIMWEKEA CHOCHOTE KALINI ZAIDI USIMWAMINI KILA MTU UNAPOKUNYWA.
MWISHO TUTOSHEKE NA KUJUA VIWANGO VYETU. HUENDA ANGELALA ZAKE TU BAADA YA BABY WAKE KUMRUDISHA HAYA YOTE YASINGEMKUTA.
WASALAM NDUGU ZANGU WANYWAJI.