Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Screenshot_20211222-170009.jpg
 
Yoshua Bin Sira.31:25-31

Usijionyeshe kuwa hodari was kunywa kileo,yaani,mvinyo imewaangamiza wengi.

Tanuru hujaribu kazi ya mhunzi,na mvinyo mioyo ya watu,katika Ugomvi wa wenye kiburi.

Kwa wanadamu mvinyo Ni Kama maji ya uzima,ukinywa kwa kiasi.
Je anao uzima gani mtu asiye na mvinyo?

Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu.
Mvinyo Ni furaha ya moyo na changamko ya roho,ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha.

Lakini kunywa mno Ni uchungu wa roho,na fedheha,na Ugomvi.

Kileo humzidishia mpumbavu mitego na humletea hasara,hupunguza nguvu na zaidi huleta jeraha.

Usimkaripie jirani yako penye karamu ya mvinyo,Wala usimdhihaki anapocheka;Wala usimwambie neno la shutumu,Wala usimnyenye kwa kutaka alipe deni..
 
Usimkaripie jirani yako penye karamu ya mvinyo,Wala usimdhihaki anapocheka;Wala usimwambie neno la shutumu,Wala usimnyenye kwa kutaka alipe deni..[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Yoshua Bin Sira.31:25-31

Usijionyeshe kuwa hodari was kunywa kileo,yaani,mvinyo imewaangamiza wengi.

Tanuru hujaribu kazi ya mhunzi,na mvinyo mioyo ya watu,katika Ugomvi wa wenye kiburi.

Kwa wanadamu mvinyo Ni Kama maji ya uzima,ukinywa kwa kiasi.
Je anao uzima gani mtu asiye na mvinyo?

Nayo imeumbwa ili kuwafurahisha wanadamu.
Mvinyo Ni furaha ya moyo na changamko ya roho,ikinywewa kwa wakati wake na ya kutosha.

Lakini kunywa mno Ni uchungu wa roho,na fedheha,na Ugomvi.

Kileo humzidishia mpumbavu mitego na humletea hasara,hupunguza nguvu na zaidi huleta jeraha.

Usimkaripie jirani yako penye karamu ya mvinyo,Wala usimdhihaki anapocheka;Wala usimwambie neno la shutumu,Wala usimnyenye kwa kutaka alipe deni..

Hivi hiki kitabu kipo kwenye biblia ya kanisa katoliki tu.?
 
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
Sema Mshana nimemiss sana zile thread zako za mambo ya kishirikina shiirikina zilikua zinani impress sana,nakumbuka ile story ya kisiwa cha mafia Mshana Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom