Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwam bado mnaendelea kulewa tu? Corona haina nguvu kwenu sio.
 
Halafu hata huko gesti hausi kuna mikao yake
kulewa ndio kupata corona? Nijuavyo mimi ni mikusanyiko ndio hatari, Halafu siku hizi ukienda bar Mlangoni wameweka ndoo ya Maji na mhudumu wa kulzimisha watu wanawe mikono

Jr[emoji769]
 
kulewa ndio kupata corona? Nijuavyo mimi ni mikusanyiko ndio hatari, Halafu siku hizi ukienda bar Mlangoni wameweka ndoo ya Maji na mhudumu wa kulzimisha watu wanawe mikono
Tungepumzika kwa muda kidgo kupisha corona au kiu itatuua nayo?
 
.
1586170207745.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom