Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mapema kwa dada muuza.
IMG_20200328_144104_132.jpeg
 
Hahahaa pole sana mdau hebu tuwasiliane
Habar wazalendo wenzangu humu ndani.

Mi niko bar moja hapa bush kwetu. Ila, nmekaukiwa gambe dzain ili kufikia lengo langu. Vip, huwa hakuna namna waungwana wanaeza fanya mpango kumbust mtu kama mimi hata bia mbili walau tukaonana PM?

Natanguliza samahani waungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom