Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hello...
Natafuta nembo ya Carina Si ya nyuma...yangu imevunjika...kama kuna mtu anayo au anfahamu mahali ninapoweza kuipata na bei yake tuwasiliane...
 
Nina Suzuki Escudo old.Changamoto zake.

-RPM 4500 lakini speed 60

-Gari Ni nzito na haikamati silence.

-Mafuta km 5 kwa lots

-Mafundi wanasema engine oil ni tatizo,na gear box oil pia.Naomba mnaomiliki gari hizi mnisaidie pa kuanzia,gari ni automatic.
 
vw scirocco (couple)
109325465_1507577032783750_1686290275402785013_n.jpg
View attachment 1513670
 
Back
Top Bottom