Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari za saa hii wakuu,
Ninagari yangu vitz clavia, nilipeleka kwa fundi aipige rangi. Baada ya siku kama 10 hivi ikawa imekamilika.
Cha ajabu sterling imekuwa ngumu kama jiwe. Ila ukiindesha kama dk 1 inarudi katika hali ya kawaida. Tatizo linakuwa kubwa unapotaka kupark au kuitoa parking.
Niliporudi kwa fundi rangi akanambia huenda rangi imeingia kwenye joint gani sijui akanishauri niendelee kuitumia tatizo litaisha ila mpaka Leo almost mwezi bado tatizo lipo palepale. Sterling ni as if inajilock.
Naomba ushauri kwa mtu aliewahi kuexperience hii kitu.
 
Check hydraulic kama haijapungua
Cheki power steering system Kama haijawa distubed ...hiyo sababu fundi aliyotoa ni ya kipuuzi mno
 
@Mshana Jr ushauri wako mkuu, sijawahi kumiliki gari...Nataka ninunue used kwa mtu bajeti ni mil 4+ kipato changu ni wastani tu. Je ipi itanifaa? Ila nikipita nayo mtaani wasinidharau sana

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Engine 2az ya Vanguard imekaanga na kuharibu Shaft, pistoni moja na mkono wake, fundi ananishauri ninunue hivyo vifaa kisha turudishie itakuwa vizuri, najua humu wengi wanauzoefu naombeni ushauri wenu
 
Pima kwanza block kama haijaathirika
 
IST yangu, kuna.mlio unatoka kwenye injini nikiwasha, ni kama mlio flani wa beringi hivi, from engine, upo kama unatoka kwenye alternator. nifanyeje?
 
Habarini wakuu kuna mdau ameniuliza nkaona nilete kwenu hiv gari ikiwa inakula sana oil shida inaweza kua ni nin??? Amefanya service kama mwezi hivi ila jana kaangalia oil imebak chini ya nusu kidgo kwa kutumia ile stick
 
Aende kwa Fundi wakaangalie Piston ring zitakuwa zimeisha habari yake, na kama ana hela wacheck na piston kama zinadagi wachonge na sleeve waweke mpya, lkn hasa kabisa ni hizo Piston ring

Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom