Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu naomba ushauri kati toyota fortuner na toyota vanguard ipi ninzuri kwauimara na utumiaji wa mafuta maana hizi gari huwa nazipenda sana
 
Habari za muda wakuu, naomba kuuliza tena. Kuna jamaa yangu gari yake mark 2 grande, ina tatizo la kutetemeka sterling japo sio kila wakati. He yaweza kuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom